SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
YANGA_Vs_AFC LEOPARDS
All Goals and Highlights


SIMBA_Vs_NAKURU ALL STARS
All Goals and Highlights

#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-2 (Penalts)


YANGA Vs TUSKER FC, Mashabiki wa Yanga wamejaa Taifa kweli

Timu toka Tanzania zitakazokuwepo ni pamoja na Yanga, Simba Sc, Singida na Jang'ombe Boy's FC, Timu kutoka Kenya ni pamoja na Nakuru AllStar, AFCLeopard, Goh Maria na Tusker FC

NAHODHA wa AFC Leopard akinena jambo

a587f601b6589f2dd763433215b380f0.jpg


Full Time 1-1
Leopard wamefuzu kwa penalt 5-4 dhidi ya Singida
513e599c51a551f9c431eb2e9cab4ecd.jpg

Full time
Yanga 0-0 Tusker

Yanga anafuzu nusu fainal kwa
4-2 penalts


Full Time
Gor Mahia 2-0 Jang'ombe Boys
Gor Mahia wamefuzu nusu fainal
511107b004890e7bf54bbf67f2307e2f.jpg

Simba imetolewa kwenye michuano kwa jumla ya penalts
5-4
557b58e7cabe55f82797b1e253f1119a.jpg


Yanga Vs AFC Leopard

Gor Mahia Vs Nakuru All Stars
a1faea9e02c5984f167cb07564d2625d.jpg

Full Time
Yanga 0-0 AFC Leopard
Penalts
Yanga 2-4 AFC Leopards
0b77bb6edc0909e57a083ea6fa34d621.jpg

Full time
Gor mahia 2-0 Nakuru All stars
Mabingwa
11c3bea0daeecbce7cfe95ee6904d3b9.jpg


Gor mahia 3-0 AFC Leopards

Asante kwa kushiriki
 
Eti mechi zitaoneshwa live ITV Ngoja nisubiri spidi kali ya kamera moja ikifukuzana na mpira.
Hahaa, Hii kitu naisubiria. Labda pengine wamejipanga.

Ila najaribu kuwaza kwa maandishi. Ilishindikana kuwapa kazi Azam au dili lilikua la pesa kubwa.

Nakosa jibu
 
Hawa ITV yaani bado sana kwenye kuonesha Mpira..picha mbovu..hakuna score board kwenye TV..bora wangewapa wenye fani yao Azam..by the way Singida wanaongoza goli moja.

Wale wenye kisimbusi cha Azam KTN ya Kenya wanaonesha vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom