Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

Mkuu, huu uzi hauna maelezo.

Sasa unataka watu wajadili picha tu?

BAK, tumetoa nafasi kwa mleta uzi aweke maelezo angalau machache ili iweze kujadilika.
Inawezekana una uwezo mdogo wa kuchambua mambo, hiyo picha haitaji maelezo yoyote hili hieleweke.
 
Maelezo gani Mkuu unataka zaidi ya hiyo picha? Mbona picha hiyo ina maelezo ya kutosha kujua huu uzi unastahili kuwepo kwenye jukwaa lipi?
Mi naona mkaushie mod. Uzuri ni kuwa unapatikana pia na hauzuii kujadili siasa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naomba kuuliza sikuhizi Referral hospital ni Mawilayani na sio Kikanda Tena ?

britanicca hii vipi ?

IMG-20171116-WA0072.jpg
 
Consultant Hospital/Referral Hospital
Has special departments, medical specialists,
Teaching and University clinics:
-Dar-es-salaam (Muhimbili Universität)
-Mwanza
-Moshi (Kilimanjaro Christian Medical Clinic = KCMC)
In Plans: Hydom Hospital (Mbulu district, Manyara-Region)


Regional Hospital Kigoma


Regional Hospitals
1 Hospital for every region/1 Million population, medical specialists, experienced general doctors, Medical Assistants, schools for Medical Assistants, small departments of specialization, hospitals for referring patients to referral hospitals.

District Hospitals
1 bed per 1000 inhabitants
2-4 doctors, Medical Assistant,there is no special departments,
1 District: Population from 100,000-200,000.





Health center
1 Health center, per 50,000 inhabitants.

Desirable: 1 doctor, Senior Medical Assistant who has finished his additional studies as leader, Medical Assistant, co-workers for preventive health work, release and delivery stations, midwives, nurses, laboratory assistant, supervision of the dispensaries, vaccination, mother-child-clinics, possibilities for in-patient treatment, about 20 beds.




Medikamentenausgabe Dispensary Bugamba


Dispensary

1 Dispensary per 10,000 inhabitants

Medical assistant, curative and preventive work, nurses, release and delivery services, vaccination, mother-child-services. Private dispensaries can be registered and recognized by state if they have a doctor or an assistant medical officer.

Medical Service
Is no longer offered free of charge in Tanzania. Since 2001 there is health insurance (National Health Insurances Fund) for the government employed people.
 
Back
Top Bottom