Bora aliyesema NAKAA KIMYA

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Bashite Bashite hakuna asiyejua hili jina katika Taifa hili, mengi sana watu wamesikia kutokana na jina hili hadi jina maarufu la KOROMIJE likatokea.

Diamond Alitoa Wimbo nadhani Kama nasaha zake kwa Watanzania kuhusu kilichokua kinaendelea kuhusu jina Hilo. Mawe sasa yakaanza kurushwa na makombora mbalimbali kwa Kijana huyu ikafikia kipindi akawaomba msamaha Watanzania.

Nachokiona kwa mtizamo wangu Kijana huyu alikuwa sawa kabisa, Watanzania hawataki kuamini suala la BASHITE ndio limeisha hivyo.

Nimejifunza mara nyingine unatakiwa kunyamaza kimya.

Hongera mama Diamond
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom