Recent content by Wa Nyumbani

  1. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Dar ndio sebule ya Tanzania..mikoani ni vyumbani. Mambo yote yako sebuleni. Tv pia hiwekwa sebuleni
  2. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Tajiri Uganda ajitangazia msiba ili kupima marafiki wa kweli

    Awereness joke!!
  3. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Hivi wakristo wanaokula nguruwe wanaruhusiwa kuwachangia damu waislamu

    Hakuna tatizo kwani mtoa damu hawezi kusema anakula kitimoto na hata watoaji hawaulizi kama unakula kitimoto. Vyakula ni Kwa nje tu, ndani ya mwili havitambuliki.
  4. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kazi kweli kweli
  5. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

    Mimi hapa mkongwe japo sitokei mara Kwa mara lakini nipo sanaaa!
  6. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Fikiria Sumaye angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Sumaye hakuwa mtu sahihi ndani ya CDM. Apumzike tu kwani hata Hana mvuto kisiasa
  7. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Mbowe shikilia hapo hapo, CHADEMA can't be for dogs!

    Ni sahihi
  8. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Jesca John Magufuli

    Jamani mbona mnamjadili sana binti bosi? Kwani yeye hana mbegu za uzazi? OK tuweke akiba tusifike to that extent!!
  9. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Lissu hawezi kutibiwa kwa michango, ana stahiki zake kama mbunge

    Spika ni MTU mjinga kabisa. Kwanini anafuatilia mambo yasiyomhusu? Kwani ni asiendellee na mambo mengine au hana cha kufanya? Suala LA Lissu halimhusu mjinga!!!
  10. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hawezi kuinyoosha nchi, anaivuruga Tanzania

    Nakuunga mkono mia kwa mia
  11. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Wakati tunamnanga Rais Magufuli kuwa haendi kwenye mikutano, wenzetu wanamsifia kutoenda

    Sijui nchi yetu imekumbwa na shetani gani. Haijawahi kutokea kuwa na Rais Wa NAMBA hii. Afadhali aendelee kususia vikao vya njema asije kuropoka akatuaibisha Taifa zima
  12. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Nape na Nyalandu mjiandae kisaikolojia kufutwa

    Naomba niwatie Moyo. Demokrasia inakua. Pamoja na dhuruma inayofanyika katika nchi yetu najua iko siku tutapata ukombozi. Tusikate tamaa tuendelee kupigana na kukosoa bila woga
  13. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    Ndugai spika Wa ajabu haijawahi kutokea
  14. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

    Huyo Rais unayesema anatukanwa, mlimchagua ninyi. Na wewe watukane wanaomtukana
  15. Wa Nyumbani

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

    E="Gangongine, post: 23097936, member: 346691"]Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake...
Back
Top Bottom