- Thread starter
- #21
Without a doubt! But not todate!But also cdm can't be for mbowe forever let's think different

Jukumu LA kwanza la kiongozi was chama cha siasa ni kufikisha chama toka A mpaka B kwenye nchi ya asali na maziwa haraka iwezekanavyo ili sababu za kuanzishwa kwake zitimie. Hapa kwetu kila miaka 5 vyama vyote vya siasa vinapata fursa ya kuingia kwenye nchi ya ahadi na ni jukumu la kiongozi kuwafikisha wanachama wote huko. Akishindwa wenzake wanaweza wakampa nafasi nyingine kama alikaribia lakini kama alikuwa mbali sana kiongozi mstaarabu huachia ngazi mwanachama mwingine ajaribu maana lengo lao ni moja. Baada ya kupewa nafasi nyingine na akafanya vibaya zaidi kuliko fursa iliyopita, atolewe kwa kurihusu wanachama wengine wachukue nafasi yake ya uongozi kwa njia ya kidemokrasia. Kuna njia na namna nyingi za kufika B.Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais.
Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi MIKONONI mwa mbwa(going to dogs)Kila mtu alitafsiri kivyake,wengine walisema alitukana!
Leo hii tunasikia kelele nyingi,kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa amekaa Sana ,awaachie na wengine!
Aidha anavunja katiba.
Kinadharia inaweza kuwa kweli!
Lakini katika mazingira ya Siasa za kihunii zilizoendeshwa kwa Miaka 4 sasa Ni ngumu sana Kuwaamini Hawa wema walijiotokeza kuitakia mema CHADEMA kwa kimtaka Mbowe apumzike!
Haya NI machozi ya mamba! Mbowe Shikilia hapohapo huwezi kuwaachia Chama Mbwa!
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais.

Teh teh teh leo mmekuja na uzushi huu,kweli mmeishiwa hoja. Acha Mbowe abaki tutapitisha bakuli chama kitaendelea kama kawaida.Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
And believe you me that CHADEMA will never go to dogs may be CCMMwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais.
Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi MIKONONI mwa mbwa(going to dogs)Kila mtu alitafsiri kivyake,wengine walisema alitukana!
Leo hii tunasikia kelele nyingi,kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa amekaa Sana ,awaachie na wengine!
Aidha anavunja katiba.
Kinadharia inaweza kuwa kweli!
Lakini katika mazingira ya Siasa za kihunii zilizoendeshwa kwa Miaka 4 sasa Ni ngumu sana Kuwaamini Hawa wema walijiotokeza kuitakia mema CHADEMA kwa kimtaka Mbowe apumzike!
Haya NI machozi ya mamba! Mbowe Shikilia hapohapo huwezi kuwaachia Chama Mbwa!
Only through the use of state apparatus as that is the only lender of last resort in our contemporary politicsI'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
Wee bana kamatia hapo hapo mana unaweza usipewe tenda kwenye ile ofisi yetu. Tusije kosa mishahara ya kuendesha familia . Wala sikulaumu kwa bandiko lako. ntakutafuta siku ya matokeo 2020 ya uchaguzi mkuuI'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
Anko, chama siyo VITI bana. Wanachama bado watakuwepo. In pluralis, wawili wanahesabika kama ni WANACHAMA. Au ile sheria imebadilika? Chama kitabakiI'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
NB,wanachadema ndiyo watakaoiua chadema,ccm itaimalizia tuMwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais.
Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi MIKONONI mwa mbwa(going to dogs)Kila mtu alitafsiri kivyake,wengine walisema alitukana!
Leo hii tunasikia kelele nyingi,kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa amekaa Sana ,awaachie na wengine!
Aidha anavunja katiba.
Kinadharia inaweza kuwa kweli!
Lakini katika mazingira ya Siasa za kihunii zilizoendeshwa kwa Miaka 4 sasa Ni ngumu sana Kuwaamini Hawa wema walijiotokeza kuitakia mema CHADEMA kwa kimtaka Mbowe apumzike!
Haya NI machozi ya mamba! Mbowe Shikilia hapohapo huwezi kuwaachia Chama Mbwa!
Nakuhakikishia Mkuu Paskal; wenda wewe ni mwandisi wa Habari Ila siyo mtafiti. Ata Chadema waseme kwa msajili wa vyama kua kuanzia leo tumejifuta bado CCM hawataweza kukosa upinzani. Kama Lengo la Magufuli ni kukifuta CHADEMA bila kufuta upinzani basi atakua Sawa na mtu anaetaka kwenda Kyela kwa kupitia Nairobi.I'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
Mkuu Ruhi, kama unaamisha upinzani wa ndani ya mioyo ya watu, then its true, upinzani hauishi, ila upinzani ninaouzungumza mimi ni upinzani rasmi wa kisiasa, tayari serikali za mitaa ni CCM, mwakani madiwani wote ni CCM, wabunge wote ni CCM, then Chadema will be reduced to nothing.Nakuhakikishia Mkuu Paskal; wenda wewe ni mwandisi wa Habari Ila siyo mtafiti. Ata Chadema waseme kwa msajili wa vyama kua kuanzia leo tumejifuta bado CCM hawataweza kukosa upinzani. Kama Lengo la Magufuli ni kukifuta CHADEMA bila kufuta upinzani basi atakua Sawa na mtu anaetaka kwenda Kyela kwa kupitia Nairobi.
CHADEMA si jina tu inayowaunganisha watu ? nakwambia kuna watu wanafanya kazi Ikulu na Rais lakini ni wapinzani kwelikweli wa serikali.
Chama hakiwezi kuachiwa mbwa wa lumumba type zenuWanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
I'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.