Dalali awezi chukua mil 40 nikiwa Naona live na mimi nilimwambia 50 huku pia mteja anashuudia kirahisi tu
Hapo lazima turudi kwenye meza ya mazungumzo apate percentage kadhaa
Lakini pia dalali angeangalia mazingira na muktadha mazuri wa kuipata iyo 40 siyo kirihisi ivyo
Boniface Kariuki, mchuuzi aliyepigwa risasi wakati wa maandamano wiki mbili zilizopita jijini Nairobi, amefariki dunia. Msemaji wa familia, Emily Wanjira, amesema Kariuki alithibitishwa kuwa amefariki saa tisa na robo jana alasiri
Taarifa za awali kutoka kwa Familia ilisema madaktari...
Just in🚨 Muda huu Simba wamekwenda bodi ya ligi kuchukua tiketi zao za VVIP na VIP kwa ajili ya watu wao (wageni) muhimu…..ni wazi Simba watacheza mechi ya kesho.
Kama ulivyo utaratibu timu ngeni na mwenyeji huwa wanapewa tiketi za VVIP na VIP tayari Simba wamechukua mzigo wao.
Kesho lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.