Bram a.k.a bromfontein mpaka ile casino mwisho wa mtaa,hapa wamejaa wabongo wengi sanaaaa tena wale wa hatareeee,mpaka rosebank huku hua sisalimii wala sishuki wala siongei kiswahili ikitokea nimepita huko ni kwa bahat mbaya sanaaa
Mzeee hujakutana na wehu wa magazeti bado,zamaniii nilikua napenda sana racing kuna mtu tuliwekeana dau kutoka ubungo mataa kabla ya hilo daraja to mwenge 25 seconds nikabisha haiwezekani aisee nikaambiwa ingia kwenye gari saa 5 usiku racing ikaanza hatari na nusu jamaa nililia kwa kihoro cha...
Niamini mimi,zilikua Isuzu pickup,gia sita spidi 240 kama hilux D4D,jamaa akikanyaga gia rotation inafika sita ndio anachange ingine,spidi yao ni hatari mnooo nimepanda zaidi ya mara 10,cha pekee zaidi jamaa wanajua kutunza mafuta aisee diesel wanaiuza inayobaki ndio wanatembelea gia namba 5 na...
Zamaniii nilikua napanda gari za magazeti ya mwananchi,aiseee jamaa wanakimbiaaaaaa hakuna mfano, dar mnaondoka saa 4 au 5 usiku mbeya mnafika saa 12.30 asubuhi,saa 5 wanageuza saa 3 wapo dar saa 5 wanageuza mbeya tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.