Recent content by Wa mbogwe

  1. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Kupinga utabiri wa mvua kubwa Dar kuanzia 15 Novemba

    wewe endelea tu kupinga
  2. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Rekebisha kwanza kishwa cha habari kisomeke hivi HELA ZA WATANZANIA ZINAENDELEA ......na sio ...
  3. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi (Trafiki) lianze na vitu hivi ili kudhibiti ajali

    Tatizo kubwa la Trafic ni RUSHWA,RUSHWA RUSHWA hawa jamaa wa njaa balaa
  4. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Nyie endelei tu kuzichakata maana hayo sio mashindano kana kwamba kuna kombe tunagombea
  5. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapeleka watu mkiwa kwenye privacy zenu muji record?

    Hizo kiongozi ni pombe tu pamoja rafiki zake jamii ya Bangi
  6. Wa mbogwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu siri ya kubwa ya ndoa

    Mbona hiyo siri ya ndoa mimi siioni
  7. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Nahama wilaya baada ya mtu niliyemzidi chuo kuwa kiongozi wa wilaya

    Unamatatizo ya kisaikolojia sio bure kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake
  8. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

    Yaani watanzania walio wengi kwa asilimia kubwa sio waaminifu hata kidogo kwenye inshu mbali mbali mimi nakushauri wewe mloge tu awe ndondocha kila mtu akose
  9. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Just image league moja iwe na teams hizi hapa

    Kama hujaiweka arsenal basi hakuna ligi hapo
  10. Wa mbogwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nigonge vizuri mimi boss wako

    Chai
  11. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Timu zilizokuwa Kibonde kwa Tanzania ila sasa Wanatupiga kama mbwa koko

    Vibonde wa Tanzania kwenye soka ni 1. Djibouti [emoji1089] 2. Eritrea [emoji1096] 3. Somalia [emoji1220] 4. Lesotho [emoji1147]
  12. Wa mbogwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko na vimbwanga kwenye vikao vya ndoa

    Mimi nilioa bila mchango wa mtu hata ndugu sikuwaomba michango kabsa ila walikula wakanywa na bajeti nzima haikuzidi 4M
  13. Wa mbogwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko na vimbwanga kwenye vikao vya ndoa

    Kwa hiyo 1M ya kijana na 2M za wazazi zingetosha kabisa kufunga ndoa na maisha Kuendelea bila kusumbua watu. Mimi binafsi nishaacha kuchangia harusi kitambo sana kabla ya mapolisi hawajaacha kuvaa kaptula.
  14. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Je wajua kikosi cha leicester city kilichochukua ubingwa kilikuwa bora kuliko cha arsenal? Angalia first eleven ilivyokuwa

    Hata kama hana kikosi bora lakini ndio anaongoza ligi na hivi karibuni watakabiziwa rasmi
  15. Wa mbogwe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Taarifa kwa vyombo vya habari

    Asante kwa taarifa mdogo ake chazi hirari
Back
Top Bottom