Je wajua kikosi cha leicester city kilichochukua ubingwa kilikuwa bora kuliko cha arsenal? Angalia first eleven ilivyokuwa

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,997
8,375
Goal keeper: 1.kasper schmeichel

2.Christian fuchs
4.Robert huth

3.danny simpson
5 Wes Morgan

6.ngolo kante
8 drink water

7. Mahrez
11.albrighton

9. Vardy
10 .okazaki

Kwa hiki kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016 ,ni wachezaji wawili tu wa sasa wa Arsenal wangepata nafasi ya kuanza Partey na sako

Na ili kuchukua ubingwa leicester city alichukua point 4 kwa manchester city

Sasa humu jukwaani kuna vijana wanazuka from nowhere wanapiga kelele kuwa Arsenal ina kikosi bora

Arsenal bado haina hadhi ya kuchukua ubingwa
 
Mla ni mla leo mla jana kalani?
 
Yaani umeandika kwa wivu wa hali ya juu sana.

Huyo Leisester msimu anachukua ubingwa alipigwa nje ndani na Arsenal tena akipigwa 5-2 akiwa nyumbani. Kwa kifupi hapo Ngolo Kante pekee ndio angeweza kupata nafasi Arsenal tena akianzai benchi.
Arsenal kilichomponza ni mechi za UEFA alipangwa kundi gumu lenye Barcelona na Bayern ile ya kina Robben. Kuna mechi Arsenal Alipigwa 5g5 na Bayern.

Kila enzi zina mashujaa wake. Yaani unalinganisha timu kwa kuangalia kikosi cha miaka 7 nyuma?

Sasa hao Leisester hapo hamna hata mmoja angeweza kuingia INVINCIBLE squad ya Arsenal

  • Ashley Cole. Martin Keown. Pascal Cygan. Gaël Clichy. Sol Campbell. Kolo Touré Lauren.
  • Patrick Vieira (Captain) Robert Pirès. Frederick Ljungberg. Ray Parlour. Edu. Gilberto Silva.
  • José Antonio Reyes. Dennis Bergkamp. Sylvain Wiltord. Thierry Henry. Nwankwo Kanu. Jérémie Aliadière.
 
Nazungumzia kikosi cha leicester city 2015/2016
Na hawa Arsenal wa 2022/2023

Leicester was better squad than current Arsenal squad

Alifungwa game mbili tu na zote na aseno
 
Nazungumzia kikosi cha leicester city 2015/2016
Na hawa Arsenal wa 2022/2023

Leicester was better squad than current Arsenal squad
na mimi nimezungumzia kikosi cha Arsenal 2015/2016 kilichompiga huyo Leicester match zote. Hakuna mchezaji wa Leicester angepata namba pale Arsenal.
 
Goal keeper: 1.kasper schmeichel

2.Christian fuchs
4.Robert huth

3.danny simpson
5 Wes Morgan

6.ngolo kante
8 drink water

7. Mahrez
11.albrighton

9. Vardy
10 .okazaki

Kwa hiki kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016 ,ni wachezaji wawili tu wa sasa wa Arsenal wangepata nafasi ya kuanza Partey na sako

Na ili kuchukua ubingwa leicester city alichukua point 4 kwa manchester city

Sasa humu jukwaani kuna vijana wanazuka from nowhere wanapiga kelele kuwa Arsenal ina kikosi bora

Arsenal bado haina hadhi ya kuchukua ubingwa
Hivi ni kwanini wasio na akili wote wanaichukia Arsenal?

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada wewe Ni boya kabisa usiyejua mpira hata kidogo.

Kwa taarifa yako ile season ambao Leicester City walitwaa ubingwa wa ligi Arsenal ndio timu pekee uliyofanikiwa kuifunga hyo Leicester City nje na ndani kuliko timu zingine zote.Yaani Arsenal ilijizolea point zote 6 kutoka kwa Leicester.

Wewe Ni bonge la boya kweli.
 
Arsenal alipomfunga leicester city alichukua ubingwa?

Nimesema kikosi cha leicester city 2015/216 ni bora kuliko cha sasa arsenal

Tumia akili

Back
Top Bottom