Recent content by Wa mbekenyeraa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

    Kwa maelezo yako nakushauri upime figo!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mambo manne yatakayokusaidia kudili na mambo usiyoyatarajia

    Ujumbe murua! Wengi tunahaha kutafuta nani amekusababishia shida hiyo, kumbe tunajiumiza zaidi
  3. W

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Kuanzia Januari 2025, Vivuko vitakuwa vinasubiria abiria, Sea Tax kuongezwa Dar

    Vivuko vitakuwa vinasubiri abiria! ngoja tuone
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala na vipimo vya kitapeli

    Kaka tusaidiane taarifa, watu tuko kwenye mateso ya magonjwa na hatujui hatma yetu, nisaidie mawasiliano yake inbox kama hutojali.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Mada kama hizi tunafatilia wachache, wengi akili ipo kwa yanga na simba, tuna safari ndefu sana
  6. W

    JamiiForums Tanzania Unakimbia au unapambania kibunda?

    JF siku hizi imeingiliwa na watoto
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo Nyakati Zinabadilika

    Kuna Watu muna muda wakutosha sana kuchezea simu
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Unataka kutuambia kwamba marehemu Captain ni mmoja wa wahanga!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

    Dr Ryoba ana uelewa mkubwa wa mambo mbalimbali ya nchi hii, hivyo angetufaa zaidi kwenye usemaji wa serikali hasa kipindi hiki ambacho wananchi hawamuelewi mama kwa sababu tu wamekosa taarifa jinsi maendeleo yanavyoenda. Kwa Kikeke bado aendelee kulelewa ndani ya utumishi kama azina ya miaka ijayo
  10. W

    JamiiForums Tanzania Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Mtanda kwa Mkuplo
  11. W

    JamiiForums Tanzania KIFO : Tunakichukulia simple, tunajisahaulisha haraka sana...

    Hakuna kitu kibaya maishani kama kuharibu maisha ya watu.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya kuchapisha mabango na sticker Tabora

    Nenda pale jengo la NSSFTabora, kuna jamaa anaitwa Akida na ofisi yake iko hapo inaitwa Sama, wapo vizur sana huwa tunamtumia kwa kazi zetu za ofisini
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, ramani na fundi mbobevu wa kujenga nyumba za kupangisha

    Mkuu, hapa unataka tufanye nini ili tukuridhishe?
Back
Top Bottom