loupa Senior Member Joined Jul 22, 2016 Posts 127 Reaction score 82 Oct 8, 2022 #1 Naomba kufahamishwa anayejua wanapochapisha mabango na sticker kwa mji wa TABORA
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,403 Reaction score 197,122 Oct 8, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
W Wa mbekenyeraa Member Joined Apr 8, 2021 Posts 38 Reaction score 86 Oct 8, 2022 #4 Nenda pale jengo la NSSFTabora, kuna jamaa anaitwa Akida na ofisi yake iko hapo inaitwa Sama, wapo vizur sana huwa tunamtumia kwa kazi zetu za ofisini
Nenda pale jengo la NSSFTabora, kuna jamaa anaitwa Akida na ofisi yake iko hapo inaitwa Sama, wapo vizur sana huwa tunamtumia kwa kazi zetu za ofisini