KIFO : Tunakichukulia simple, tunajisahaulisha haraka sana...

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
KIFO fumbo kubwa duniani kote linaendelea kuwa tishio miongoni mwa wanadamu kwakuwa watu hawajui ma hawana uhakika baada ya kifo nini kinaendelea... Hakuna mwenye experience ya kujustify hili tukio!

Binadamu leo unaongea, kesho unazima kama mshumaa,unafukiwa na kuoza kabisa huko ardhini!

Fikiria watu unaowafahamu ambao walikuwaga wanaongea na wewe, sasa hivi hawapo tena! Wamefariki , wamefukiwa huko ardhini.

Leo kuna watu bado wanawasema vibaya baadhi ya marehemu. Mfano ni hayati Dkt JPM!Mtu ameshakufa, hujui anavyoishi huko, hayupo nasi, bado unamsema vibaya.

Mtu anakufa, watu wanamsahau haraka sana as if wao hawatakufa na kufukiwa huko chini ardhini waoze wawe chakula cha funza!

Tuache makidai.
 
Heeee ko ulitaka mtu akifa maisha yasimame? Unauhakika gani kama huyo aliekufa anasahaulika mioyoni mwa watu?
 
Sasa hata ujikumbushe au ujisahaulishe utakufa tuu kwanini ujipe shida na mambo yaliyo nje ya uwezo wako.

Mpaka umri huu umeshasikia motoni ngapi?
 
JPM wanamsema vibaya lakini nafsi zinawasuta ukizingatia tatizo la maji na umeme halikuwepo kipindi chake.
 
kifo kinatisha.

wengi tunasumbuliwa na hofu ya kufariki, yaani thanatophobia
 
KIFO fumbo kubwa duniani kote linaendelea kuwa tishio miongoni mwa wanadamu kwakuwa watu hawajui ma hawana uhakika baada ya kifo nini kinaendelea... Hakuna mwenye experience ya kujustify hili tukio!

Binadamu leo unaongea, kesho unazima kama mshumaa,unafukiwa na kuoza kabisa huko ardhini!

Fikiria watu unaowafahamu ambao walikuwaga wanaongea na wewe, sasa hivi hawapo tena! Wamefariki , wamefukiwa huko ardhini.

Leo kuna watu bado wanawasema vibaya baadhi ya marehemu. Mfano ni hayati Dkt JPM!Mtu ameshakufa, hujui anavyoishi huko, hayupo nasi, bado unamsema vibaya.

Mtu anakufa, watu wanamsahau haraka sana as if wao hawatakufa na kufukiwa huko chini ardhini waoze wawe chakula cha funza!

Tuache makidai.
Kifo ni mwanzo wa maisha mapya Ukiishi bado unaitajika Ukifa kaz yako imekwisha! Usiogope kifo kifo uwa wanaogopa wenyezambi
 
Back
Top Bottom