huo ni uongo uliokomaa sema lipumba kapewa njuluku na ccm ndio akakimbia, mbona alishiriki kumsafisha lowassa kwamba ni safi bali mfumo ndio mbaya eh!! wacha kutudanganya hapa. kalale kwanza ukiamka utaelewa somo.
Mimi ni kwa jinsi walivyojitenga na wananchi wa hali ya chini na kujiona wao ni levo nyingine na siyo watz, ule umoja Nyerere aliuweka wao wameundoa kabisa... halafu kitendo cha kujipa madaraka kila siku ni wao wao, baba anampa mtoto, mtoto anamkaribisha ndugu, yaani nchi imeshakuwa na matabaka...
Huyu mzee apunzike tu kwa amani asitake kutuchanganya watz kwa kauli zake banaa! yeye atuachie sisi wananchi tudili na ccm wenyewe. Au aende vocation Rwanda kama Lipumba ama nene!
shigongo anatakiwa aangalie wananchi wa kawaida ni nini kinawaumiza na wanataka nini na yeye awe pamoja nao! kumbe anavyo jifanya kuandika hadithi za ukombozi, halafu ukombozi unakuja anaukataa ni tatizo kubwa!:heh:

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.