Shida ya maji na umeme ni kwa wanaUkawa tu au na wanaCcm?

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,047
2,000
Ukiona jinsi wanaccm wanavyojisifu nashindwa kujua .

Swali langu :Hivi hili tatizo la kukatika kwa maji na umeme kila siku kila mwaka ni kwenye nyumba zenye wanachama wa cdm,cuf na nccr tu au na kwa wanaccm?

Nauliza kwa sababu wana Ccm wanasifia mfumo utafikiri hata hz shida kwao hazipo.ama kweli rushwa hupofusha akili.
 
Wa kusafu

Member
Aug 6, 2015
16
0

Hawajielewi hawa, wanavutiwa na nyimbo ccm ni namba one baaasi. na kaingia mpiga ngoma ndio kabisaaa watajitoa ufahamu.:baby:
 
mkezwag

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
3,245
1,500
Ukiona jinsi wanaccm wanavyojisifu nashindwa kujua .

Swali langu :Hivi hili tatizo la kukatika kwa maji na umeme kila siku kila mwaka ni kwenye nyumba zenye wanachama wa cdm,cuf na nccr tu au na kwa wanaccm?

Nauliza kwa sababu wana Ccm wanasifia mfumo utafikiri hata hz shida kwao hazipo.ama kweli rushwa hupofusha akili.
mkuu ni ufukara wa akili ndio unawaowasumbua,achilia kukatika kwa maji na umeme watoto wao shule hawaendi kwa kukosa shilingi Mia tano na hata wakienda hawapati elimu kwa Kuwa walimu hawapo,madarasa mabovu,vitabu hakuna,madawati ndo usiseme.ufukara ndo unawafanya wasiweze kufikiri Kwamba mtoto wa mwenyekiti wao angewezaje Kuwa hapo kama asingepelekwa shule,mtoto wa katibu Mkuu wao wa zamani hivyo hivyo.yaani ni ufukara,ufukara,ufukara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom