Recent content by vyuma

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Kesho atakuwa star TV, tuongee asubuhi

    A
  2. V

    JamiiForums Tanzania Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    Mkuu nimecheka sana mpaka watu waliopo jirani yangu wamenishangaa
  3. V

    JamiiForums Tanzania Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

    Mkuu mbona unafichaficha? Anaweka majeshi karibu ili yamsaidie kwenye uchaguzi 2020. Mbona kwa tundu lissu hajaonesha moyo huo??? At kwa kuwa anatamani afe???
  4. V

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa nishati na madini atateuliwa lini?

    Kujua kusoma na kuandika
  5. V

    JamiiForums Tanzania Peter msechu akiwa na mkewe

    Kwani kukanyagiwa ni tatizo ? Mwili si wake ya nini mumpangie matumizi ? Atawapa wengine kama alivyompa Peter maana mwili ni wake na hakuna wa kumpangia matumizi ya mwili wake.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi

    [emoji23] [emoji23] hongera mkuu kwa kutoka hatua moja kwenda nyingine
  7. V

    JamiiForums Tanzania Uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi

    Mshana Jr umeokoka lini ndugu yangu?? Leo naona maajabu kwa uzi wako huu. Nilizoea kukuona / kukusoma kwenye ulozi na ushetani,leo huku wapi????
  8. V

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi kodi inawauma Tanzania 18%, Kenya 6.8%, Uganda 11%, Rwanda 5.6% na Burundi 10.3%. Twafaa

    Mkuu umesema kweli kabisa. Kwa jinsi makomeo anavyoendesha nchi sidhani kama hata mawaziri wake watamchagua,ila nakubaliana na wewe kwa asilimia zote,2020 maccm yataiba kura.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kupata fao la kujitoa NSSF

    Pspf wanatoa mafao kama kawaida
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inamwogopa Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS?

    John anajua uchaguzi wa 2015 hakushinda bali alitangazwa tu mshindi lazima aogope kila kivuli mbele yake.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

    Unachokijua wewe ni matusi tu,nina imani kwa safari unazozifanya nchi mbalimbali kazi yako ni utingo. Maana watu hao hawana lugha za heshima kama zako. Kila anaekulea hoja badala ya kuijibu wewe unatukana kwanza.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

    Mkuu usihangaike na huyo jamaa kwa maswali unayomuuliza MTU yeyote keshajua ni wa aina gani. Huyo ni Paulo type.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

    Rwanda hakuna sehemu hata moja siyoijua,hivi tunavyozungumza nipo kahama nimetoka Rwanda. Kila kinachoendelea Rwanda nakifahamu. Iwe Tanzania , Rwanda ,Burundi ,Congo ninapajua vizuri mno. Warundi wanahangaishwa na Watusi wanaojiita sindumuja wakiongozwa na Pierre buyoya, Alexis sinduhije...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

    Waoneeni huruma wanyarwanda chini ya fashist Paulo kagame. Maisha wanayoishi ni ya taabu kuliko mnavyofikiri. Ukienda mara moja hata iwe kwa mwezi huwezi jua kwa undani jinsi wanavyoumia. Jaribu kumtafuta mnyarwanda hasahasa muhutu umuulize kama anafurahia kuishi chini ya dikteta Paulo usikie...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    Mkuu kama unafikiri ccm inategemea kura za wananchi kushika dola jaribu kubadilisha mawazo. Waulize wazanzibari,wananchi wa wilaya ya nyamagana,kigoma kusini,mtwara vijijini,nanyamba,songea mjini,tunduma kwa uchache na maeneo mengine mengi utapata jibu.
Back
Top Bottom