Recent content by vyevye

  1. V

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Singida eka 3

    Mama joe nataka heka moja bado kipo?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Singida mjini

    Natafuta kiwanja cha kununua singida mjini kikiwa na hati itafaa zaidi. Kiwe sehemu nzuri.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Dodoma, sehemu nzuri

    Mimi nahitaji singida mjini
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

    Kuwa mwaminifu mpende mjali na zaidi kabisa simama naye wakati wa shida na raha kuwa upande wake. Hii ni zawadi kubwa sana. Sijajua uwezo au zawadi yako ya dhamani gani. Mnunulie hereni na mkufu wa dhahabu.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nanenane morogoro

    Kiwanja chenye nyumba hadi rinta vyumba 4 vya kulala 2 kati ya hivyo ni masterbedroom kinauzwa. Kipo maeneo ya nanenane morogoro km 2 toka barabara kuu ya Dar moro. Kina hati kamili sqr meter 840. Bei million 50 karibuni.
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa gospel karibuni

    Hizi nyimbo zinafariji sanaaa.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Morogoro mjini

    Ha nami ninacho kipo Tubuyu mbele ya nanenane ni kama km 2 toka barabara ya rami kimejengwa hadi rinta na mashimo ya choo yamejengwa madhari nzuri sana majirani wa ukweli kina hati safi kila kona imeshajengeka. Bei million 50.
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemzidi umri kwa miaka 12

    Hiyo tofauti ya umri ni kubwa sana miaka 12 hapana. Ila kama huna mtoto na unapenda kuwa na mtoto au unapenda kuzaa naye sawa fanya hivyo. Kisha endelea na maisha yako huku mwanao akiwa na baba maadam kasema mwenyewe. Ila kiungwana kuolewa naye hapana jamani. Mwache kijana wa watu apate mtu...
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Haya ni maisha wapendwa kuna leo na kesho ati. Leo una hudumia familia yako 100% mke yupo kakaa akijiandaa kwa sex usiku tu. Hajishughulishi ili asichoke. Una uhakika kwamba utaishi nao kwa muda mrefu? Ukifa? Ukiugua? Ukilala kitandani miaka na mkeo ndo wa aina hiyo unafanyaje. Watoto ada...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Mimi navipenda kweli hivyo vikuku ila nasikia tafsiri yake si nzuri so naogopa kuvivaa. Ila uwe na guu lako nzuri ukiweka hiko kicheni lol unanoga sana.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Huo ugonjwa ni balaa. Kuna kinga zinatolewa mkachome hizo sindano. Alafu umeingia kwa kasi kubwa sana. Ukiambukizwa kupona ni 10% kufa 90%
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Huko kubembelezana ndo unampa mtu kichwa anakungangania sababu anakuona kama unataka hutaki. Kama kweli hutaki simamia kauli yako kwa nguvu acha kuchekacheka na ndiyo maana huyo dada anajiamini hivyo. Alaa! Unambembelezea nini sasa?
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano yasiyo na unafiki?

    Unaweza wewe ukawa si mnafiki ila ukapata mnafiki. Mi navyoona wanafiki ni wengi zaidi sijui inasababishwa na ninii?
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano yasiyo na unafiki?

    Mbona unaguna? Tujadilii
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke au mchumba

    Tupo ila hujajiweka wazi tuna maswali mengi.
Back
Top Bottom