- Thread starter
- #21
Mmmmmh!!!!!!!!!!
Mbona unaguna? Tujadilii
Mmmmmh!!!!!!!!!!
Habari members wote,
Naomba kuuliza kama kuna mahusiano ya dhati kizazi hiki. Namaanisha upendo wa kweli kwa pande zote. Mtu yupo tayari kumtetea.
Kumlinda na kusimama nafasi ya mpenzie kwa gharama yeyote. Iwe girlfriend/boyfriend, mchumba au mume/mke? Nimekuwa na mashaka kama yapo ni 1 kwa 100. Hii inasabahishwa na nini?
Naomba tujadili
Mahusiano hayo yapo sana tu.
Na huwezi kuwa nayo kama wewe mwenyewe ni mnafiki.
Wengi waweumizwa, wameumia ila kuna wakati nao wakafika mahali salama kabisa hadi wao wanajiona kua wapo salama.Unaweza wewe ukawa si mnafiki ila ukapata mnafiki. Mi navyoona wanafiki ni wengi zaidi sijui inasababishwa na ninii?