Jitahidini mle hivyo hivyo, ili mkue, watapita na matarumbeta kuwaomba kura zao
Mama endelea kutuchagua, tutawajengea barabara za juu na chini.
Tuchagueni tutawajengea makazi na ofisi bora.
Semeni wapiga kura wa leo, hongereni kwa kupata maisha bora.
Mama jitahidi uwakuzie mpiga...