Nimefurahi sana kwa moyo wako wa kizalendo ktk kuwaelimisha na kuwasaidia watanzania ktk dunia ya leo wapo wachache wa aina yako. Nina kijana wangu anataka kuchukua Phd in anthropology and cultural tourism au social science. Hasa Germany. Hebu nipe darasa kidogo ndugu yangu.
Hata mimi nimekuwa najiuliza hivyo hivyo. Pengine sheria zetu ni za akiba ya barabara ni pekee ktk dunia. Juzi nilipita barabara ya morogoro. Nilitoa machozi kwa kile nilichokiona. Hakuna lugha ingine unayoweza elezea sura niliyoiona zaidi ya unyama na kukosa ubinadamu na kutokuwa na hofu ya Mungu.
. Hapana siyo Felix Mrema aliyewahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia tiketi ya Ccm. Ila ni Mrema na kwa wakazi wa Arusha, akijulikana kwa jina la umaarufu kama Mrema wa Impala hotel.
Unatafuta gari ambayo ni adimu ktk soko. lazima bei itakuwa juu. Pengine si kiasi unachofikiria. Hata kwa wenzetu walioendelea kwa gari aina ya mandolin. Kwa sasa utaipata kwenye museum tu. Na bei itakuwa juu hata kushinda land Rover ya kisasa.
Arusha, utapata ukitembelea minada sehemu za...
Bunge ni chombo pekee ambacho wananchi tulitegemea ndiyo litajitoa kizungumzia kwa kupaza sauti juu ya matatizo ya maisha ya wananchi, hususani uchumi ulioanguka. Kwa kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi, hivyo wanajua shida na kero zinazowakabiri. Lkn wapi wanazungumzia na kurumbana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.