Recent content by vurumai

  1. V

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wana sababu gani kumzuia mpangaji kuwa huru na chumba chake?

    Usipange chumba sehem ambapo mwenye nyumba nae anakaa hapo hapo. Ni shida kwa kweli bora muwe wapangaji tupu.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahahara ulioongezwa na serikali ccm tuwang'oe 2015 madarakani

    Hivi mishahara imetoka ? Mbona wengine tunapiga miayo tu wakati serikali ile ile
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba mkubwa sana

    Huyo dada ushamba unamsumbua. Mbona watu ambao sio wasomi tunapiga nao madili ya pesa ndefu huku kitaa.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Chumba self container Arusha Makao Mapya

    Chumba bado kipo wadau
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men With Iron Balls: wanaume siosoma wana balls za chuma kuliko nshomile kwenye kuwamanage wanawake.

    Stupidity plus confidence leads to a disaster.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Chumba self container Arusha Makao Mapya

    Nyumba zpo mkuu.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Chumba self container Arusha Makao Mapya

    Makao mapya karibia na magorofa ya national housing yanayoangaliana na technical college.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Chumba self container Arusha Makao Mapya

    Nimeshahama so nakiuza kipo kitupu
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mabasi ya kutoka Arusha kwenda Bukoba

    Asanteni wakuu. nmepata majibu. Kwa faida ya wengine ni kwamba magari yapo karibia matatu nadhani ambayo ni Mohamed classic,kimotco na nbs. Kila cku basi basi moja ndo linaenda huko.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Chumba self container Arusha Makao Mapya

    Habari Wadau. Nauza chumba kimoja chenye full tiles na choo ndani. Kodi ni 100000 kwa mwezi nmekilipia miezi mitatu hivyo nirudishie 200000/- ya miezi miwili, wa nane na tisa. Ukilinilipa wiki hii utaweza kuhamia na kukaa bure mwez huu mpaka utakapoanza mwez wako wa nane.Kitanda na godoro vyote...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Hii imeniuma sana

    Pole sana ila utapata tu. Mimi binafsi nilikua intern kampuni private fulani hvi na wakatangaza kazi nkapiga interview hadi oral lakini ckupata japo nilkua najuana na mabosi na nafasi zilikua mbili. Badae nkifanya interview kwenye shirika la umma ambalo nilikua cmjui hata mfagizi nikapata na...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Bila living certificate siingizwi kwenye payrol

    Huyo jamaa anakisirani tu huyo. Watu tumeingia serikalini hatuna hata cheti tuna transcript tu sembuse hio leaving. Me cjawahi itumia hio kitu cjui hata nmeiweka wapi. Jaribu kumweka sawa.
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pesa tunazopewa na wapenzi wetu huwa hazifanyi mambo ya maana

    Ukiona mdada anawaza kuhongwa ujue hajiamini na maisha yake. Hizo ni akili za kimaskini. Msichana mchakarikaj anaejiamini hasubiri kuhongwa ndo afanye maendeleo.
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am 42 yeas old and finished

    Usife moyo bado unanafasi tena sana.
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am 42 yeas old and finished

    Sio vzuri hivyo unavyofanya.
Back
Top Bottom