Hii imeniuma sana

Hii imeniuma sana

Endelea kutafuta kwingine katika kila jambo Mungu huwa ana makusudi yake, good lucky huko kwingine kiongozi.
 
ulionesha dalili za njaa ulivyoshutuka na kushangaa mwagari. na kibaya zaidi ukataja mshahara kima cha kuku ndo wakakusoma kwamba wewe hiyo kampuni huwafai. inawezekana kulikuwa na kamera maeneo yote ulipopitishwa na kuna timu nyingine ya usahili next room ikaona unavyowaka matamanio wakakupiga chini.

Hahahahahahaaaa:sly: hilo nalo linaweza kua neno, mda mwingine mtu hata kama una shida usijishushe kivileeeeeee hadi uonekane chokest.
 
avatar101098_1.gif


Usikate tamaa...

I wish ningeipata hii picha kubwa. Dah. Inachekesha na funzo juu.
 
Tafuta kwingine utapata kazi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole sana ila utapata tu. Mimi binafsi nilikua intern kampuni private fulani hvi na wakatangaza kazi nkapiga interview hadi oral lakini ckupata japo nilkua najuana na mabosi na nafasi zilikua mbili. Badae nkifanya interview kwenye shirika la umma ambalo nilikua cmjui hata mfagizi nikapata na mshahara ni karibia mara mbili ya kule nilipokosa. Namshukuru MUNGU kwa kweli.
 
Hatakamaunaona umefanikiwa kufumba na kufumbua unashindwakuamini macho yako sikuhizi uhakika mpakaumeingizwa katika system ndioujiamini lasivyo unawezachomanauli na salio lako ukithani dili limenyooka kumbe???????????
 
Back
Top Bottom