Ipo kampuni moja tu ya mabasi ya abiria kutoka Arusha hadi Bukoba inaitwa MOHAMED CLASSIC wanapatikana hapo stendi kuu. Ila ifikapo desemba kuna jamaa wa KIMOTCO GROUP nao hupeleka magari yao BUKOBA. Nauli ni sh. 50,000/=
Asanteni wakuu. nmepata majibu. Kwa faida ya wengine ni kwamba magari yapo karibia matatu nadhani ambayo ni Mohamed classic,kimotco na nbs. Kila cku basi basi moja ndo linaenda huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.