Recent content by VunjaMfupa

  1. VunjaMfupa

    Gazeti la Jamhuri linatumika kumchafua Dr. Mpoki

    Magazeti yanasikilizwa kuliko wataalamu.
  2. VunjaMfupa

    Gazeti la Jamhuri linatumika kumchafua Dr. Mpoki

    Walisema uongo kuhusu mita za mafuta, Sijui yameishia wapi? Yana Mwisho.
  3. VunjaMfupa

    Dr. Tizeba alidaganya bunge kuhusu mita za bandari

    Mtandao unasumbua wakuu, kuna clip imesambaa Dr. Chizeba akiliambia bunge, bajeti iliyopita matatizo ya mita za bandari na mradi mkubwa unaoendelea wa bandari kujenga matangi ya kupokelea mafuta. Aliyenayo atupie hapa. Juhudi zinafanyika ili uploading ya clip hiyo.
  4. VunjaMfupa

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Mkuu, nilikuta wanapakia kutoka kwenye tank maalum kwenda melini pale songosongo, ananunua kama oil chafu. Nikajiuliza ukodi meli kununua mabaki? Tena tukatania, huu utakuwa mchanga unaopelekwa nje. Hiyo product Inaitwa "natural gas condesate" . What is gas condensate Gas condensate can be...
  5. VunjaMfupa

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Kwa taarifa yenu bado TPA wanaangaika nazo mwisho wameamua nao kuendelea na by pass.
  6. VunjaMfupa

    Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu WMA, Meneja Vipimo wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Baada ya uchunguzi hili ndio litakuwa JIBU. Kama Serikali ya Mh. Maghufuli inazingatia Haki. Na imani yangu Rais ni mkweli.TUSUBIRI.
  7. VunjaMfupa

    Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu WMA, Meneja Vipimo wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Hii sijaelewa Meseji ilikuwa hivi na taasisi zote zilizotajwa kwenye hiyo meseji walitumiana kuweka msisitizo. wa kutekeleza agizo. "ACTING MD TPA - MATUMIZI YA FLOW METER: Wizi wa mafuta umekidhiri huku matumizi ya flow meter hayapo hapo Bandarini. Ipo flow meter ya zamani nashauri ianze...
  8. VunjaMfupa

    USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    TPA na TRA waliidanganya serikali kuwa mita zinatumika wakati by pass kibao.
  9. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Mkuu si umeona wakati WMA wanasema mita Zina matatizo na zinatumika ndivyo sivyo, TPA waliiambia serikali mita haina tatizo lolote na haijawahi kusimama kufanya kazi.
  10. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Qkumekucha MICHUZI BLOG
  11. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Inaaminika yeye ni mshauri wa usahihi wa Upimaji, meseji ilipowaita wakusanyike KOJ wala yeye hakuwepo, TPA walianza kufanya service na kesho yake Waziri Mkuu akashtukiza. Haijaanza kupima ni maneno ya TPA. Natafuta Ubuyu tujue mita zinafanyaje kazi.
  12. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Vijiti vya kupima. https://www.varec.com/docs/PRO027GVAE2713_InstrumentationOverview.pdf
  13. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Mtunzaji wa mita ni TPA, anaetumia data za mita kutoza kodi ni TRA. WAMA kazi yake ni kumlinda mlaji katika matumizi ya vipimo sahihi. Yeye kazi yake ni kuhakikisha hicho kipimo hakipunji, Haki bin Haki.
  14. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Jamani mama wa Watu alitoa agizo mita zisitumike mpaka zirekebishwe. TPA hawajarekebisha. Walipoulizwa wakasema zimefungwa mnyororo. Watumishi wa serkali kibao waliitwa kwa meseji kwamba mkulu ameamua mita zianze kazi tarehe 10 Februari walikuwa pale KOJ kuitikia witoTPA, akasema anasubiri WAMA...
  15. VunjaMfupa

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Tatizo TPA na TRA walikuwa wanapitisha meli hadi 13. Basi wangeijulisha serikali tatizo. Si umeona wanasema mita hazijawahi kusimama toka zianze? na TRA wanasema zinatoa strange readings" Uzima wa mita ni accuracy na si vinginevyo.
Back
Top Bottom