Recent content by vposterior

  1. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

    Wameanza kuogopa hawa jamaa na inawezekana baadae wakatoa details za watu. Sasa inabidi tubakie jukwaa la mapenzi na mahusiano. INAKUAJE THREADS ZINAHUSU UCHAGUZI WANAZICHUJA SANAAA NA MWISHO WAKE HAWAZIPOST. KWA IYO SAIVI JAMII FORUM IMEKUWA PRAISE FORUM NAYO.
  2. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    Kumekuwa na sintofahamu juu ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Wapo wanaosema ushindi wa Magufuli ni wa halali na wale wanaosema ni wa kuiba. Kwa kuwa nina hakika kila mmoja anaujuwa ukweli juu ya hili jambo, ili kuondoa unafiki naomba kila mmoja aitikie dua hii ili tujue ukweli. Hii kwa wale...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Kwa iyo unapingana na Magufuli aliyeshauri Prof. Mbarawa awe makamo wa pili?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

    Na asiesema kitu kuhusu kushindwa na kushindwa ni nani?
  5. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Si kuna na padri sijui ni askofu nae pia anawaambia wakristo wampigie Lissu. Ponda atawaconvince Muslims na yule askofu wakristo.
  6. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

    Huyo hana lake amejuulikana mapema. Uzuri ni kwamba hana nafasi yoyote yenye maamuzi katika chama. Mshauri hana issue na si mjumbe wa halmashauri kuu.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi akijibu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi - Oktoba 23, 2020

    Bia yetu Kama kudai nchi yetu ni uhizbu, basi mahizbu ni wengi sanaa na twachukuwa safari hii. Oman mtakwenda nyie kuchuna uso muombe msaada.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi akijibu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi - Oktoba 23, 2020

    Anapiga Kelele tu. Zanzibar haiwezi endelea ndani ya Muungano, muarubani wa maendeleo ya Zanzibar ni kuvunja Muungano.
  9. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

    Wanufaika wa heslb wanakatwa 15% badala ya 8%. Lakini pia hili jamaa linaongeza 6% ya deni la awali kila mwaka. Litatuuwa hili babu.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali si shwari. Vurugu zaibuka na watu kadhaa wanadaiwa kujeruhiwa vibaya

    Kuna watu wawili waamekufa huko Shumba Mjini Micheweni Pemba. Mmoja ni mwanachama wa CCM na mwengine wa ACT ambae kauliwa na vikosi.
  11. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Sirro: Kuna baadhi ya vyama wana ajenda ya kufanya vurugu ili uchaguzi usifanyike

    Safi sana bora kinuke huko Jeshi lipelekwe lipunguzwe Zanzibar maana miaka yote munakuja kupindua meza. Naomba dua hali iwe mbaya mikoa mingi majeshi na akari waende huko Zanzibar tumumuondoe jamaa wa MKURANGA. Na vile nasikia kuna habari nyeti katika mpaka wa Tz na Msumbiji.
  12. V

    JamiiForums Tanzania ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

    Hahahahaah wambie wajaribu mkuu.
  13. V

    JamiiForums Tanzania ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

    Tunaomba Maalim kesho ukanunue maembe kwerekwe, halafu upite darajani ununue halua
Back
Top Bottom