Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali si shwari. Vurugu zaibuka na watu kadhaa wanadaiwa kujeruhiwa vibaya

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,740
2,000
KILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR

Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.

Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.

Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana

Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.

View attachment 1602557

ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
HII NI SINGE AU NINI MATUMIZI YA SINGE NI HATARI SANA
 
James Mkalama

Member
Oct 13, 2020
23
75
KILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR

Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.

Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.

Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana

Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.

View attachment 1602557

ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Nimesema hii nchi Haifa napia adui ni CCM ukweli siku hiki chama kikiondoka hapa ndiyo Tanzania itasonga mbele na kuwa huru, mifano iko mingi mfano kenya
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,615
2,000
Hiyo yote kutaka kumbeba Hussein Mwinyi hapati hata kura mbili .Halafu polisi , jeshi wako bize kupiga watu Zanzibar .
Screenshot_20201016-212406.png
Screenshot_20201016-105219.png
Screenshot_20201016-103456.png
Screenshot_20201016-112143.png
Screenshot_20201016-112236.png
 
mekuoko

JF-Expert Member
Nov 15, 2012
329
250
jamani ndugu zetu wa zanzibari punguzeni presha hizi ni siasa tu ugomvi wa nini jamni, sasa kama siasa ni kukatana mapanga basi bora tusiwe na uchaguzi. sisi watanzania hatupendi kuona mtanzania mwenzetu hata mmoja anamwaga damu kwa ajili ya siasa....hakuna sababu....haswa vijana acheni mizuka ya bangi mtakufa buree
Issue siyo siasa. Tatizo uonevu na dhuluma. Bila haki hakuna amani.
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,260
2,000
Issue siyo siasa. Tatizo uonevu na dhuluma. Bila haki hakuna amani.
haki itatendeka lkn usivunje utaratibu ktk kudai haki, dai haki kwa njia inayo faa sio vurugu,
kamwe huwezi kupata haki kwa kwa kufanya vurugu.......haki yako itapotea, lkn ukidai haki ktk njia za kistaarabu basi lazima utapewa tu haki yako
 
MrFroasty

JF-Expert Member
Jun 23, 2009
866
250
Hiyo yote kutaka kumbeba Hussein Mwinyi hapati hata kura mbili .Halafu polisi , jeshi wako bize kupiga watu Zanzibar . View attachment 1602897 View attachment 1602898 View attachment 1602899 View attachment 1602901 View attachment 1602902
Sipendi kuchangia mihemko ya namna hii, lakini watanganyika mmejikita sana na visiwa vya Zanzibar sana sana. Majeshi yote si yamekwenda visiwani, sasa Allah anawaletea mitihani mpate kuona.

Miaka yote mmechukua masheikh wetu wa UAMSHO wasio na hatia mkawapa kesi ya kupanga ya ugaidi. Sasa Allah anawaonesha kama gaidi huwa na silaha, sio anaejadili kwa mihadhara na maneno. Kujadili muungano isiwe kama vile ni jambo la haramu, ni haki ya wananchi kujadiliana kwa hoja na kufanya maamuzi yanayostahiki. Na ndicho walichokuwa wakifanya masheikh wetu wa UAMSHO. Wametoa maoni yao kama hawaridhishwi na muungano kwa kutumia platform yao kama viongozi wa jamii.

Sasa watanzania watajua maana ya neno ugaidi. Ni kama vile watu walikuwa wanajaribu na kujitoa fahamu hawajuwi tofauti ya gaidi na muislamu wa kawaida. Sasa mmefahamu ugaidi hee ?

Laana hiyo inaanza kuwarudia!
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,190
2,000
Acha ujinga na wewe.ulitaka akuletee mkanda mzima wakila tukio kwani ni filamu hiyo.Hiyo picha kaonyesha tu sehemu kidogo kama kielelezo wala sio ndo tukio zima.Unachotakiwa kufanya nikufwatilia kwenye vyanzo vingine ili ujiridhishe kwamba je ni kweli vurugu zimetokea au hazijatokea nasio kukomalia picha kana kwamba ndo habari yenyewe.Au wewe ulitaka uwekewe picha ya watu wanakatwa shingo ndo ufurahi kua kweli kuna vurugu zimetokea.Unakwama wapi kuelewa mambo madogo kama hayo.
Sasa kama picha haielezi tukio aliiweka ya nini?!

Habari za kuzusha hizi, hakuna vurugu popote Zanzibar.

Jeraha hilo sio kielelezo kwamba kuna vurugu Zanzibar, wewe ndiye uache ujinga.

Mimi hapa Muhimbili naona majeraha zaidi ya hayo, na tungepiga picha na kuyatungia habari za hovyo walio nje ya mkoa wataamini.

Nasema tena picha za hospitali hazimaanishi kuna vurugu Zanzibar.
 
chikambabatu

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
399
500
Kukosekana kwa tume huru, Nchi tumaiweka rehani, sita acha kumlaumu kiongozi wa ukawa kuwaongoza kutoka nje Bunge la katiba, tume huru ilipatikana, na watambue hatuwezi pata yote kwa mpigo, safari hatua!
 
vposterior

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
763
1,000
Kuna watu wawili waamekufa huko Shumba Mjini Micheweni Pemba. Mmoja ni mwanachama wa CCM na mwengine wa ACT ambae kauliwa na vikosi.
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
312
1,000
Msiombe Magaid wabeba silaha kuingia Tanzania,kwanza ulisikia wapi hao magaidi wamepigana vita wakashinda ? wapi ?
Isipokuwa itakuwa umewahi kusikia wapi wamesababisha hasara,namna ya upiganaji wao,wanajeshi wabobezi wataelewa nazungumza kitu gani,hapa sio hawa wanaobebeshwa silaha wakajazwa kwenye difender kama manamba kwenda kupiga wananchi wasio na hatia.

Nazingumzia wanajeshi wenye uelewa na mambo ya kivita. magaidiawe alshababu au wale sandinista ,kwana wana mafunzo ya kijeshi ikiwemo kujilipuwa,pili wana stadi eneo hata kwa miaka mingi pengine mitatu mitano au zaidi na kwa muda huo wameshawachunguza na kujua mwenendo wenu wote nje ndani.

Sasa wanapoamua kuingia kimapambano ujue watapiga vibaya sana na kusababisha hasara na vifo hawa wanaotutesa na vidifender vyao hawa kwenye michezo ya kijapani huitwa kumi shilingi,wala sio tishio kabisa kabisa,mtu mmoja tu anawamaliza wote walio kwenye difender,wacha watutese sisi kwa sababu hatujui kukamata hata panga.

Baada ya ile miaka ya kuisoma tabia nchi ya movement za kijeshi,yaani hawa jamaa wanajua mpaka mida wananjeshi wa nchi wanapofanya mazoezi,wanapolala wanapolewa ni ujasusi rahisi sana kuufanya kwenye nchi iliyotulia kama yetu.

Bana hawa hutumia aina ya kupigana kivita kwa kuvamia sio kama alivyovyotuvamia Idi Amini,hawa kwa luga ya kigeni naitwaa ambush ni hatari na ndio maana hujawasikia kupigana wakashinda,tunaona wanavyofanya hujuma Kenya na Somalia Nigeria na kwengineko,wakiingia watatuumiza sana wala tusijidangaje kuwa tutawashinda,halafu jamaa ndio hawachoki,isipokuwa hurudi wakajipanga.

CCM msitupeleke na kusababisha hawa watu kupata sababu ya kuingia Tanzania ,alafu awachagui wakati wakivamia na kuambush target yao atakaewakalia mbele halali yao.

Fuatilieni visa vyao vinasomeka kwenye mitandano ,ufilipino wapo ,Srilanka wapo achana na hizi nchi za kwetu, Mpaka India wapo.
CCM bwageni manyanga wala msidanganye kuwa tumevamiwa tuna ndugu na jamaa Mtwara hawajasikia hilo,mnataka kutuhamisha tuachane na mambo ya kuwaondoa.

Mwaka huu haondoshwi mtu kwenye lelii mnaondoka mnaangushwa mkitaka msitake,miyaka 56 imetosha ,yaani mmekaa mpaka sasa mnarithishana kwamba wananchi wengine hawafai.
 
maiyanga1

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
927
1,000
jamani ndugu zetu wa zanzibari punguzeni presha hizi ni siasa tu ugomvi wa nini jamni, sasa kama siasa ni kukatana mapanga basi bora tusiwe na uchaguzi. sisi watanzania hatupendi kuona mtanzania mwenzetu hata mmoja anamwaga damu kwa ajili ya siasa....hakuna sababu....haswa vijana acheni mizuka ya bangi mtakufa buree
Hawa wanaopotea mitaani kwa kuhoji phd unawaweka fungu gani, na wanaowapoteza unawaweka fungu lipi?
 
logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
3,719
2,000
Msiombe Magaid wabeba silaha kuingia Tanzania,kwanza ulisikia wapi hao magaidi wamepigana vita wakashinda ? wapi ?
Isipokuwa itakuwa umewahi kusikia wapi wamesababisha hasara,namna ya upiganaji wao,wanajeshi wabobezi wataelewa nazungumza kitu gani,hapa sio hawa wanaobebeshwa silaha wakajazwa kwenye difender kama manamba kwenda kupiga wananchi wasio na hatia.

Nazingumzia wanajeshi wenye uelewa na mambo ya kivita. magaidiawe alshababu au wale sandinista ,kwana wana mafunzo ya kijeshi ikiwemo kujilipuwa,pili wana stadi eneo hata kwa miaka mingi pengine mitatu mitano au zaidi na kwa muda huo wameshawachunguza na kujua mwenendo wenu wote nje ndani.

Sasa wanapoamua kuingia kimapambano ujue watapiga vibaya sana na kusababisha hasara na vifo hawa wanaotutesa na vidifender vyao hawa kwenye michezo ya kijapani huitwa kumi shilingi,wala sio tishio kabisa kabisa,mtu mmoja tu anawamaliza wote walio kwenye difender,wacha watutese sisi kwa sababu hatujui kukamata hata panga.

Baada ya ile miaka ya kuisoma tabia nchi ya movement za kijeshi,yaani hawa jamaa wanajua mpaka mida wananjeshi wa nchi wanapofanya mazoezi,wanapolala wanapolewa ni ujasusi rahisi sana kuufanya kwenye nchi iliyotulia kama yetu.

Bana hawa hutumia aina ya kupigana kivita kwa kuvamia sio kama alivyovyotuvamia Idi Amini,hawa kwa luga ya kigeni naitwaa ambush ni hatari na ndio maana hujawasikia kupigana wakashinda,tunaona wanavyofanya hujuma Kenya na Somalia Nigeria na kwengineko,wakiingia watatuumiza sana wala tusijidangaje kuwa tutawashinda,halafu jamaa ndio hawachoki,isipokuwa hurudi wakajipanga.

CCM msitupeleke na kusababisha hawa watu kupata sababu ya kuingia Tanzania ,alafu awachagui wakati wakivamia na kuambush target yao atakaewakalia mbele halali yao.

Fuatilieni visa vyao vinasomeka kwenye mitandano ,ufilipino wapo ,Srilanka wapo achana na hizi nchi za kwetu, Mpaka India wapo.
CCM bwageni manyanga wala msidanganye kuwa tumevamiwa tuna ndugu na jamaa Mtwara hawajasikia hilo,mnataka kutuhamisha tuachane na mambo ya kuwaondoa.

Mwaka huu haondoshwi mtu kwenye lelii mnaondoka mnaangushwa mkitaka msitake,miyaka 56 imetosha ,yaani mmekaa mpaka sasa mnarithishana kwamba wananchi wengine hawafai.
Kudos
Umemaliza kila kitu
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,800

Keyboard warrior koko
Ngonjera nyingiiiiii kawaulize wale magaidi wa mkuranga,kibiti na Rufiji kikichowakuta mliwapamba sanaaaaa baadaye kilichowakuta mkaanza kulia lia humu

Subiri mziki wake JWTZ waingie kazini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom