Me saivi huu ukiisha tutakua tumefika mi 5 niliwahi kumwambia kuhusu kuoana hayupo tayari bado.
Sasa basi nimeanza kutafuta back up yeye atakua wa sub nimechoka kukaa peke yangu.
Pole sana kwa Mimi mwanamke aniambie ati Mimi ni bikra tusifanye mpaka ndoa sijawahi kubali hiyo.
Wengi wanaosema mpaka tuoane wanakazwa vizuri na wahuni afu kwako anakunyima. Achana haraka na huyo tapeli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.