Jamani wanawake wenye watoto badilikeniI

Jamani wanawake wenye watoto badilikeniI

nilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
Huyo anakutumia kifinancially tu...ingekuwa kakuelewa angekuwa kashakupea kitambo bila hata kuomba kwa jinsi ulivyomjali.
 
nilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
Nipe no. yake
 
Dahh nimekumbuka kuna Sister Mmoja alikuwa anatabia ya kumuacha mwanae katika Day care moja hivi akiwa na appointment na bwana wake

Huyu sio Single mother ameolewa vizuri tu, mume wake ni mtu wa kusafiri safiri sana
 
Mkuu umejichanganya kwa mpangaji

Kwa wazoefu wanajua moja ya watu safi kabisa ni hao single mama
 
Back
Top Bottom