Recent content by Vonty

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

    That's wisdom Bro!. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. V

    JamiiForums Tanzania Biashara ni rahisi kama hivi.

    Nimeipenda hii.
  3. V

    JamiiForums Tanzania The young African Billionare

    It inspires.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mengi: From bedroom to boardroom with $550m

    Ukweli wa mtu uko moyoni mwake mwenyewe and only GOD judges!.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kipaji kinaweza kugeuzwa njia ya kuingizia kipato?.

    Habari ndugu zangu;jambo ninalotaka kufahamu hapa ni namna ya kugeuza ujuzi binafsi kua njia ya kuingizia kipato hasa pale unapo kua na ujuzi ambao umeupata kama kipaji toka kwa Mungu na uko kati ya watu ambao ujuzi huo wameupata shuleni. Kwamfano wako watu wengi mtaani wanauwezo mkubwa wa...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nini hufanya thamani ye fedha ishuke au kupanda

    Nadhani hili ni somo muhimu sana kwangu na nitahitaji kufahamu mengi zaidi.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

    Nashkuru sana mkuu kisima nitajitahidi kumcheki huyu Msumeno ili anijaze maujanja manake nataka kufahamu mengi sana.
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

    Kiukweli mi sidhani kam huyo binti anampenda jamaa toka moyoni kwasababu angekua na mapenzi ya kweli lazima angeona jinsi ya kumsaidia na si kumwacha aumie kiasi hicho. Ushauri wangu kwa huyo jamaa ni kwamba anatakiwa afikiri kwa undani na afanye maamuzi yenye busara kama mwanaume alafu kama...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

    Habari wana jf wenzangu.Nina wazo la kutaka kufanya biashara nchini D.R.C kama yuko mtu mwenye uzoefu naomba anisaidie kunipa mwanga ni maeneo gani yanafaa kwa biashara na nibiashara ipi hasa naweza kufanya kule nikiwa na mtaji wa wastani.
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

  11. V

    JamiiForums Tanzania Complete heart transplant; rethink your faith!

    Kiukweli maisha yetu yako mikononi mwa MUNGU pekee na wala si katika mikono ya madaktari ambao nao ni wanadam kama sisi Kama mgonjwa atatibiwa na kupona basi ni mapenzi ya Mungu na kama atafariki basi ni wakati wake umefika Always GOD is greater than every thing.
Back
Top Bottom