Recent content by Von G

  1. Von G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

    Hahah nimefurahi kwa hoja zako ni dhahiri kabisa yalishakukuta, ila usigeneralize kuwa wote wanatabia hyo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Von G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni taasisi tata jamani! kueni kabla ya kuianzisha

    Mkuu usiingie kichwa kichwa kisa umri , mwenzako apa naenda 34 lakn dalili bado kabisa za kuingia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Von G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni taasisi tata jamani! kueni kabla ya kuianzisha

    Hahahaha usikute nayeye anakusubr Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Von G

    JamiiForums Tanzania Kwa wasio na familia tu: Okoa pesa yako, achana na fasheni kuiga iga

    Ushauri wako mzuri sana, ila nadhani hvo vitu vyote ulivyotaja ni vya mhimu sana kuwa navyo, mfano mm wakat naanza maisha nilinunua kama wewe lakn vimekuja kunisaidia sana nilipoanza kuwa na familia wakati huo nishaijua hela balaaa kutoa lak 4 kununua kabiti siwezi, binafsi sijutiii
  5. Von G

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa Serikali kuhamia Dodoma

    Wee jamaa hoja yako Dhaifu sana, kwa hiyo ulitaka mji uandaliwe kwanza ndo serikali ihamie?
  6. Von G

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotaka madhehebu mbadala ya kisabato

    Naona ujumbe wako ilikuwa nikutuhabarisha siku ya saba, na jinsi wasabato.walivyo dahihi kuifuata siku ya saba. Sent from my STV100-4 using JamiiForums mobile app
  7. Von G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

    Sangapi Game inaanza kwa mida yetu huku
  8. Von G

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kuhusu hii hela

    Pole sana mkuu, unaweza mwambie afanye kureverse muamala yeye mwnyewe pesa itarudi kwenye account yake af atatuma upya. Au Utafte wauza vocha uwauzie mda wa hewani wao watauza kama voda rusha.
  9. Von G

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji Alternator ya Toyota athletic crown 4GR
  10. Von G

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    Kumbe ndo maana huwa nikilala Chali, napata tabu sana, mara nkabwe koo, nipige kelele af sauti haitoki, unakuwa unatamani kuamka af huwezi,kumbe jicho la tatu bwana, Ahsante sana mshana kwa kunifungua macho.
  11. Von G

    JamiiForums Tanzania Mkaa VS Gesi

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa. Inasaidia sana m kwangu maharage yanapikwa tu vizur kwa gas.
  12. Von G

    JamiiForums Tanzania Mkaa VS Gesi

    Umeongea vyema mkuu, ila apo kwenye maharage ukiweza nunua presure cooker inasaidia sana kwa vutu vigumu.
  13. Von G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba simwelewi

    Kuna ukweli fulani ,pamoja na Fanikio Simba iliyoyapta , m binafsi naona kwa wing n juhudi za wachezaji, ukitaka kujua mchango wa kocha n mdogo.angalia game zote za away vipigo vya kutosha, kwa kocha alie na skills za kutosha kazma abadili mbinu lakn umepigwa game ya kwanza tano, ya pili tano...
  14. Von G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya Matumaini ya Simba Sport Club . Yaliyo Mbele na Nyuma ya SSC —Part 2

    Umeongea point mkuu, kwa kweli Bocco so tu kwa kukosa penalty leo lakn amekuwa hana umakini kwenye ku score, anaweza pata nafasi 10 akapata 2, au akose zote. Ndiyo ana mchango mkubwa sana kwa kutoa assists lakn so mchezaji wa kutegemea ku score, nadhan kuna haja ya kuanzia sub. Lakini pia kuna...
  15. Von G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    We jamaaa unafatilia balaaaa, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom