Kuna baadhi ya watu wanataka madhehebu ya kisabato ambayo siyo SDA (Seventh Day Adventists).
Wanaweza kujaribu Seventh Day Baptist Church. Naona hawa wapo Tanzania na Kenya.
Missions Vehicle Repair – Tanzania
Ila sijui kama hawa wanaamini tafsiri ya Daniel and the Revelation by Uriah Smith, ambayo ina ukweli mwingi.
Au waanzishe dhehebu jipya.
Na dhehebu hilo jipya liwe na mafundisho mengi ya SDA. Including tafsiri ya Daniel and the Revelation by Uriah Smith.
Wanatakiwa pia waamini kwamba Bwana Yesu (Bwana Yahushua) alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
Ni vizuri sometimes wakalitaja Jina Takatifu La Mungu wa Israel (YAHWEH) kwenye sala zao.
Wanaweza kuli ita dhehebu hilo watakalo lianzisha , Seventh Day Evangelical Church.
Kuna madhehebu mengine ya kisabato, ila sometimes wana mafundisho mengine ambayo yana walakini. Uki google utayaona.
Whatever the case, siku ya saba ni Sabato takatifu, na Sabato haikubadilishwa.
Siku ya saba ina anza Ijumaa jioni na kuisha Jumamosi jioni, jua likiwa limeshazama kabisa.
So madhehebu ya kisabato yako sahihi kabisa kuhusu Sabato kama biblia inavyofundisha.