Naomba mnisaidie kuhusu hii hela

Naomba mnisaidie kuhusu hii hela

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu. View attachment 1252198

Huyo alikosea tu kukutumia, nirudishie mimi hilo salio.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu. View attachment 1252198
Pole sana mkuu, unaweza mwambie afanye kureverse muamala yeye mwnyewe pesa itarudi kwenye account yake af atatuma upya.
Au
Utafte wauza vocha uwauzie mda wa hewani wao watauza kama voda rusha.
 
Sajiri laini mpya uhamishie hiyo vocha yote huko. Baada ya hapo uanze kuuza vocha za kurusha.

Ni rahisi sana kuuza vocha za kurusha mfano rafiki yako akikuambia anaenda dukani kununua vocha mwambie wew unazo kweny simu yako unamrushia. Na siku nyingine atakutafta na anaweza kuwaambia na wengine pia.

Kubali hasara ya kiasi flani, nenda vibanda vya mpesa wana hizo huduma za kurusha vocha na vifurishi. Mwambie wakala unaomba umuuzie hizo airtime zako mfn hapo una 98 wewe mwambie akupe kesh elfu88 then umrushie hyo 98.

Ukiendelea kuiacha humo kweny hyo lain utashangaa zinaanza kupungua bila kuzitumia. Ukiwauliza voda watakwambia UMEJIUNGA NA HUDUMA YA HADITHI/ HABARI TSH 300 KWA SIKU wakati hukuwahi kujiunga
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu. View attachment 1252198
Mitandao siku hizi inavyotuingiza kwenye huduma furan pasipo kutushikilisha utashangaa imebak tsh 100
 
Sajiri laini mpya uhamishie hiyo vocha yote huko. Baada ya hapo uanze kuuza vocha za kurusha.

Ni rahisi sana kuuza vocha za kurusha mfano rafiki yako akikuambia anaenda dukani kununua vocha mwambie wew unazo kweny simu yako unamrushia. Na siku nyingine atakutafta na anaweza kuwaambia na wengine pia.

Kubali hasara ya kiasi flani, nenda vibanda vya mpesa wana hizo huduma za kurusha vocha na vifurishi. Mwambie wakala unaomba umuuzie hizo airtime zako mfn hapo una 98 wewe mwambie akupe kesh elfu88 then umrushie hyo 98.

Ukiendelea kuiacha humo kweny hyo lain utashangaa zinaanza kupungua bila kuzitumia. Ukiwauliza voda watakwambia UMEJIUNGA NA HUDUMA YA HADITHI/ HABARI TSH 300 KWA SIKU wakati hukuwahi kujiunga
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako kesho nitakupa mrejesho
 
Nikisema vodacom ni wahuni sieleweki,wanavutia kwao tu.

Mtu ananunua salio kavu elfu 80,na wakati line yake haifanyi huduma ya kurusha salio,mnakubali tu.na badala kurekebisha system iwe inakataa mwisho wa kununua salio lets say elfu 5,zaidi ya hapo iwe inagoma.hawarekebishi majibu yao ndio hayo miaka nenda rudi.

Wamekalisha viuno chini wakaja na majibu yao kwamba utoe elfu moja,au mia tano upewe namba ambazo zinajaza thamani ya pesa kwenye simu,ukitaka kujua ni uongo,ni wakati kama huu.wao wenyewe wanaona haiwezekani.maandishi ya elfu 80 yageuke kuwa pesa ya kununulia suruali.
 
Duh! Hiyo elfu 98 mpaka ije iishe ni leo mkuu mbaya zaidi hiyo biashara sijawahi fanya.
Hauwajui Voda wewe! Wiki moja tu wataifyeka kama hawana akili nzuri, Mimi niliitupa laini yao baada ya kila nikiweka salio naambiwa halitoshi, nikiongeza halitoshi.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu. View attachment 1252198
Na siku ukijiloga bando likiisha usipozima data wanahamia kwenye hizo 98.... Yani zitafyekwa zote.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu. View attachment 1252198
Mi nadhani option inaweza kua ni kwenda kwenye kibanda Cha mtu anayelusha vocha uongee nae mpange akupe cash hata ya 90,000 afu umpatie hiyo 98

I'll changamoto inaweza kua ni kumpata mtu mlusha vocha mwenye uwezo wa kua na mtaji huo
 
Yaliwahi kunikuta haya, tumewekewa pesa ya nauli sasa niitoe kwenye Bank account niiweke tigopesa nikajikuta nimeweka kama Airtime. Madukani walikataa kununua. Nikajiunga vifurushi na kuwatumia ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom