SITTA atakumbukwa sana, huyu bibie Bunge limemshinda. Mimi nadhani hastahili kuongoza taasisi nyeti kama hii. Wanadhani "kuonekana" wabunge wengi wa upinzani wanasimama kuuliza maswali na kuchangia ndiyo usawa, je hayo wanayoyachangia yanachukuliwaje na serikali, kuna sababu gani ya kuchangia...