Jibu hoja yangu, ukoo wa huyu RA uko wapi ? Wanapitia changa moto sisi tunazo pitia?
kuna kipande anasema "tangu anunue mgodi wa makaa bado awaja maliza kukabiziana document kwahiyo bado ajaanza kuzalisha "icho kitu una akiamini?
Akuna mzawa mwenye asili ya kihindi au tofauti na bara la africa nenda south africa utaona wazungu wanagombana na wa south ,
Iko hivi mtoto usiye mzaa sio wako siku akionyeshwa wazazi wake ataondoka na kuwajali kwa kuwapa kila kitu wewe utaishia kusema ni mwanao ndicho rostam anacho kifanya...
Najiuliza nini maana ya mtandao?
Mtandao unahusiana na mambo gani? Na je kisheria na kikatiba ina ruhusiwa kuwepo na mtandao?
Kazi ya mtandao ni nini?
Ni maana ya kuwepo chama na kamati je wanafanyakazi si kwa umoja?
Nakama nikwa umoja kwa nini kuwepo na magroup?
Je nani ali asisi hayo mambo...
Nime pitia articles kiasi fulani ila kwa mm nacho kitambua amna kitu kina itwa ukristo kama dini au imani...neno kresto maana yake nikiongozi au cheo na sio dini nisawa naleo tunapo sema rais, mfalme na nk.
Dini , nimira au tamaduni ambazo zina ongozwa na sheria na kanuni, hivyo waisreal hawakua...
Upo sahihi ila kuamisha rasimalii kwa maana ya vitu nakupeleka zanzibar sioni mantiki yake , ila kuna maboresho yana takiwa kufanyika kwanzia kwenye katiba , kiufupi kiwe chama cha watu nasio group ikiwa kitakua cha watu kama kinavyo tume kauri mbiu ya "people power"(nguvu ya uma) hakita tumia...
Sifikir kama 100% italeta usawa ukiangalia kwa kina zaidi kuna mambo nayaona kwa chadema ambayo ni changa moto kwa upande wa zanzibar au mwenyekiti aliye pita alikosea
1. Chadema inaonekana ni chama cha wakristu
2.kilikua cha ukabila au kanda
3.Kilikua cha mtu na si cha wananchi
Hivyo...
Kama serikali ingekua inafutilia vizur na kusoma maoni wangejua watu wamechoka na matendo yao, watu wamebadilika kizazi cha giza kina pungua.
Hivyo governmen na watumishi ni mda wakujitafakari na kufanya mabadiliko yenye tija
Mambo nimengi atukujua kutokana na watu tuliokutana naona pia mazingira mfano
1. Nilijua mzazi akosei
2.Mabadiliko ya kutoka utoto kua mtu mzima mpka kuzeeka
3.Kuminishwa vitu visivyo na uhalisia mfano mtu kua nyanyani,
Huwa najiuliza kwa nn walifanya ivyo walio tufundisha au kukutanguria
Aya marazi niyakutengenezwa pia kunasiri nyingi najalibu kufikilia kama ugonjwa alipatikana kagera kwa mtu mmoja ulienea vip? Maan ilikua rahisi kuzibiti kupitia uyo mgonjwa? nawaza mbali zaid miaka ya 70 miundo mbinu haikua rafiki kusababisha muingiliano wawatu wengi, je ilikua vip ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.