Recent content by Vodosky

  1. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Nimependa Jinsi Dkt. Mwakyembe Anavyolishughulikia Suala La Roma Mkatoliki

    hahaa.wapeee manenoz
  2. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Nimependa Jinsi Dkt. Mwakyembe Anavyolishughulikia Suala La Roma Mkatoliki

    hahahaaa if not...bora wakae kimya.
  3. Vodosky

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    na nani kawapeleka polisi? walinyofolewa chimbo lipi?
  4. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Nadhani ujumbe umefika, hakuna tena mwingine atakayekuja na 'single' ya kejeli kwa viongozi

    hahahaaa.... kuna comment nyingine huwezi kupita wala kukaa kimya zinafurahisha... kibogoyo bila ganzi....
  5. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Ridhuani Mringo: Another billionaire entrepreneur to watch!

    Kuna mtu amesema vzr hapo juu kuwa amenufaika na MFUMO. Kutoka bila kushikwa mkono TZ labda uwe unafanya kilimo.... hao jamaa kila tenda wao atakosa kutoka na si kama hakuna kampuni zingine hapana.... wapo na wana qualify lkn huwezi shindana na Derm kwenye Tenda... Labda utueleze mbinu...
  6. Vodosky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

    labda baada ya kuolewa na kuachika..lkn kabla kila mtu anataka
  7. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    wanakuwa na chama cha damu (CCM) na kiki (ACT)... na mkuu kubadili mawazo sio issue what if kaona jamaa sasa ni potential... this is so called Strategy wacha movie iendelee..
  8. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    mnajuaje kama sio CCM?
  9. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

    Halafu kwani hawa hawalali bungeni historia inajionyesha wanalalaga na je huyu makonda ndio wa kwanza kusema waheshimiwa wanalala bungeni? hapana ndio mana alikuwa mtulivu na mwenye kujiamini...
  10. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    unakunywa pombe sana? Unazini? Je kuna mambo ulionyeshwa ufate unayafata?
  11. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

    mzee wake ni wasingida yes
  12. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

    tru kabisa nakajua since kanasoma anakaa na wazee wake pale mnazimmoja flats enzi hizo...
  13. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

    mrembo sana fancy na ni msomi...hamna longo longo kajaaliwa mashaallah beauty with brain.
  14. Vodosky

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Nimeweza yipeeee
Back
Top Bottom