sasa ukisema simba wasingeweza kulipa hiyo B1 kwa sele, je walivyo mtangaza kua atacheza simba ilikua ni kuwalagai mashabiki au? nachojua mimi simba walikua njiani kulipa hiyo hela, ila yanga wamewaovertake kwa mbele
Mwanamke akiwa na akili na akijitambua katika nafasi yake kama mke, kwangu inatosha, vingine ni ziada tu. Tukumbuke in every successful man there is a woman.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.