Recent content by VIVIANET

  1. V

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Jibu swali je wewe kama mcha Mungu unaamini walishinda kwa haki na moyo wako unaamini hivyo?
  2. V

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Unalisema hilo kutoka moyoni bila hatia? je upo tayari kusimama mbele za Mungu kutoa ushaihidi huo?
  3. V

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Waliagizwa na Mungu wafanye hivyo. ila swali ni kama wanaamini walishinda kihalali na mioyo yao inashuhudia bila hatia
  4. V

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu. CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
  5. V

    Uchaguzi 2020 Esther Matiko asuswa na viongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa

    Wewe ndio msemaji wa Esther uliyetumwa kutoa ripoti? Acha propaganda za maccm waliochanganikiwa
  6. V

    Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Hivi kuna mfanyakazi atakayedanganywa na ahadi hizo za kitoto kwamba nitakuletea pipi wakati siku zote umemnyima hizo pipi?
  7. V

    Mambo ni moto: Wakurugenzi wa Halmashauri waanza kuomba kura kwa Watumishi

    Mbaka ni nini? ongea kiswahili vizuri
  8. V

    CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

    Unashangaza, mbona unaangaika sana kama hakuna uhalisia mtaani ungetakiwa ufurahi sasa
  9. V

    Tukimtazama Rais Magufuli katika maono ya Mwalimu Nyerere: Je, wanyonge tungejibu nini?

    Washauri na wanasaikolojia wafanye kazi ya ziada kuongea na Rais inawezekana amepata trauma, amepungua ghafla halafu hayupo well organized kwa sasa.
  10. V

    Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Kaka yangu wewe siyo Mungu, jaribu kuweka akiba ya maneno na mtazamo, ili usijekufa na heart attack bure. Mungu anaweza kufanya lolote mahali popote na kwa mtu yeyote. Hakuna mwenye kujua kesho itatokea nini, huo mtazamo kuwa fulani hawezi kufanya hili na lile siyo sahihi. Nakuonya mapema wewe...
  11. V

    Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Warumi 12:19 Naamini kwa moyo wangu wote kwamba Mungu anaenda kukupa nafasi ya kuongoza nchi yetu ya Tanzania. Hakuna aliyejua kuwa Daudi angeweza kumwangusha...
  12. V

    Uchaguzi 2020 Kwanini CHADEMA hawakemei na kulaani vurugu na mauaji kipindi hiki cha kampeni?

    CCM na hasa Mwenyekiti wake taifa hawakukemea kushambuliwa kwa Mh Tundu Lissu
  13. V

    Trump tested positive for Coronavirus

    Hiyo ni taarifa kutoka Marekani. Mungu awaponye na kuwarejeshea afya zao. Tuwaombee ili Mungu aingilie kati
Back
Top Bottom