Recent content by Vivac

  1. Vivac

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vipi online tigo inakubali kuweka na kutoa??
  2. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

    Sio lazima aliyepigika na maisha. Wapo wanawake waaminifu sana kwa ndoa zao na wanaume waaminifu sana kwa ndoa zao katika hali zote. Hao ni wale wanaomjua Mungu. (Simaanishi wanao attend churches ama mosques). WANAOMJUA MUNGU HAWACHEPUKI. Sijawahi chepuka na ndoa yangu miaka sita sasa. Mungu...
  3. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

    Ndio. Wengi sana.
  4. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

    😂😂Usijifariji.. people zinachepuka na watu wapyaaaaaa sio waliwabanjua ten yrs ago. Sasa kama mtu alidinywa kigoma na sahv anaishi ZANZIBAR unadhan atamfata wa kigoma kwa ajili ya mchezo tu?? Bikra anaweza kuwa mchepukaji kuliko ulokuta hana kizibo. Only GOD.
  5. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa zenu zipoje?

    Kinyume na mpango wa Mungu. Kataa ndoa ni ushetani
  6. Vivac

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona anaeleweka tu ndugu?
  7. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utachagua kipi kati ya mume/mke na pesa?

    Mleta mada unafananisha mke na vitu vya kijinga.
  8. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume huyu amenichosha

    Kuna watu wanajibu kinafiki humu sababu haijawakuta. Ungekuwa wewe au ndg yako kafanyiwa hvo ndo ungesikilizia.
  9. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume huyu amenichosha

    Sometimes, p'ple hv to notice this; when someone asks for an advise, plz let us be serious, u never know in what extent your friend suffers.
  10. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

    Nikutongoze Mara ngapi?
  11. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

    Siku hz hata mabinti wanatongoza.
  12. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

    Sky Eclat, jibu lako na swali havifanani. Hajauliza jinsi mlivyokutana bali jinsi ulivyo/alivyokutongoza
  13. Vivac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kama hujaolewa pita hapa

    How old are you?
Back
Top Bottom