Recent content by Viva Riva

  1. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Eeehee... mmeshaanza,wewe umesema asimamishwe Prof. Lipumba, ngoja mwenzako nae aseme wake.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Okay, Mimi naomba unisaidie kunielekeza tu wapi nami nitapata hayo maandiko ambayo wewe umeyatumia kutujuza sisi wengine. Tafadhali sana naomba unijulishe tu ulipopata hayo maandiko yenye maovu ya My.Lowasa. Asante sana.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Sijui ni umbulula wa raia au siasa za CHADEMA, NCCR na CUF zimekwama wapi?

    Hapo ndipo wapinzani wanakoseaga kila siku wenyewe wanataka kila raia ashabikie vyama vyao, hawajui kuwa demokrasia ya vyama vingi ni kuvumiliana, wewe ukikipenda chadema mwingine atakipenda cut,nccr au ccm.Watanzania wanaelewa sana kuwa kuna wapinzani na chama tawala ambacho ni ccm, name sio...
  4. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Safi sanaaa.... safi sanaaa....umewaeleza ukweli,wao kila siku kuwaponda polisi tu!!!
  5. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Daaah...sina uhakika kama amekuelewa aisee....maana ukiwa na akili za KIBAVICHA.... hiyo kauli yako ni ngumu sanaaaa.... kueleweka.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mama SALMA represents...!!!

    Hahahaaaa...umempatia sana aisee.... shida ya BAVICHA wamejaa chuki na choyo Sanaaaa...hivi Mama Salma angelikuwa Mama yake sijui kama angetamka Maneno kama hayo. Usichopenda wewe kufanyiwa na mtu, Basi usimfanyie mwenzako, kuna Moto jamani siku ya hukumu.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Kule chalinze atawawakilisha hata nyie wazee, na atapata tu Nafasi hiyo maana hao wapinzani hawana cha maana wanachoongea kwenye mikutano yao ya kuomba nafasi ya ubunge, Mfano chadema wanaelezea tu historia ya matukio yao, mala polisi wanatupiga sana, mala oooh... polisi wametuua sana... mala...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Hakika umeongea cha maana sana, Hawa BAVICHA shida yao wanataka kukifanya chama chao kitakatifu sanaa... wakati wanayofanya ccm na wao ndio hayo hayo kama ulivyoelezea. Siku zote wanasiasa wapo kwa manufaa yao Binafsi na Familia zao.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Ni kweli aisee kama chadema vile wanavyofanya, ukabila na udini ndiyo vigezo vyao Muhimu. Nyerere aliona mbali sanaa yule Mzee.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Riziwani ameongea Mengi kweli ya Muhimu, wewe umesikia tu hilo alilozungumzia serikali Tatu...!!!!
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

    Nashukuru umeitafsiri... teh....teh....
  12. V

    JamiiForums Tanzania Werema tumekuvumilia imetosha, jiuzulu umeidhalilisha nchi yetu vya kutosha!

    Mheshimiwa Werema alimaanisha yeye ni mkuu wa orodha ya Mawakili name siyo Bar kama eneo la kunywea kilevi. Siyo hivyo wewe ulivyofikilia na kutaka kupotosha watu hapa.
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiolewa na watu hawa ujue umekula hasara sana

    Mwanajeshi yupo vitani, mda wa kuwaza mapenzi anaupata wapi au haujawahi kuona mahala penye vita jinsi maisha yanavyokuwaga ya mashaka, kila nafsi inataka kutetea uhai wake!!!???
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakubwa tu

    Hata mwanamke anapaswa kumuandaa Mwanaume wake, Nimependa hapo kwenye usafi wa mawigi ni kweli mda mwingine yanaletaga shida si tu kwenye tendo la ndoa, Bali hata ukikaa tu karibu na mdada ambaye anatatizo hilo ni shida.
  15. V

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

    Kuna Mambo mengi yakujadili ili kutatua matatizo yaliyomo ndani ya Muungano,kisha muongeze hizo serikali zenu.
Back
Top Bottom