Kuna watu wengi sana wametokea kukosoa Ujio wa Wema ndani ya CHADEMA huku baadhi pia wakimuunga mkono lakini kubwa zaidi wengine imefika hatua kuilaumu chadema kumpokea kwa mbwembwe dada yetu Wema Sepetu.
Wanaoponda uamuzi huo hawampondi Wema kama Wema bali wanaponda ile nafasi yake yaani...
Leo nilikuwa Naangalia Ramani ya msumbiji ili kuona direction ya mji wa Maputo katika Wikipedia ndipo nikakutana na ramani nzima ya nchi ya msumbiji.
Ramani hiyo imenishitua sana baada ya kuona mpaka wakimataifa wa Tanzania uko nje ya ziwa nyasa na kusomeka Lake Malawi.
Hali hiyo ikanifanya...
Mwanzoni mwa miaka ya sabini idd Amin dada alianza harakati za kutoa vitisho juu ya taifa langu huru, kwabahati mbaya Nyerere alikaa kimya na hatimaye 1978 dhamira ikatimizwa.
Katika Ulimwengu wa sasa njia pekee ya kuepusha vitisho baina ya nchi na nchi siyo demokrasia bali vitisho mfano...
Huwenda swali hilo likawa jepesi kwani jibu lake litakuwa ndiyo lakini ni nini msingi wa kuendelea? Ili mtu aendee kutoka hali furani ya chini kwenda hali ya juu iliyobora nilazima kwanza akubali mabadiliko(changes)yaliyojaa vikwazo na matatizo ya muda mfupi yenye kukatisha tamaa na kuogofya...
Kwa muda kidogo nimekuwa nikijaribu kujipa maswali ya kufikirisha lakini nakosa jibu naomba nanyi tushiriki pamoja ili tusiwe bendera fuata upepo wakati akili za kufikiri tunazo na zinatutosha, yanini kutumia mbongo za mwenzako wakati nawe unazo? kabla ya yote kwanza sote tuvue uchama na kuuweka...
Ndugu mbowe nakusihi ustishe haraka operesheni yako kisha ukae kimya ukiendelea na majikumu yako ya kisiasa mpaka pale akili zitakapotukaa vizuri .
Kwasababu nchi hii tumejiwekea utaratibu mbaya wa kwamba kila haki inapokosekana basi hatuwezi kujipigania ila viongozi wa upinzani ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.