vitus juma
Member
- May 20, 2015
- 98
- 43
Leo nilikuwa Naangalia Ramani ya msumbiji ili kuona direction ya mji wa Maputo katika Wikipedia ndipo nikakutana na ramani nzima ya nchi ya msumbiji.
Ramani hiyo imenishitua sana baada ya kuona mpaka wakimataifa wa Tanzania uko nje ya ziwa nyasa na kusomeka Lake Malawi.
Hali hiyo ikanifanya niachane na Wikipedia nakuanza kugoogle ramani mbali mbali za nchi ya msumbiji (siyo Malawi) nimekuta hali ni hiyo hiyo huku baadhi ya ramani chache zilionesha ziwa Malawi bila kuonesha mpaka wa kimataifa kati ya Malawi na Tanzania na kufanya Tanzania na Malawi kuwa nchi moja.......