Recent content by Vitalis Msungwite

  1. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Wenye watoto wa kike tu

    Mkuu kuna wabeba vyuma kabisa lakini ni kundi moja au nisizungumzie upande huo ila tulee watoto vyema bila kujali ni wakike au wakiume
  2. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Wenye watoto wa kike tu

    Tupo imara sana kijana na tunauhakika wa kupata wajukuu. Hao wakiume ndo wanakuwa akina anko nani sijui wanakaribia vibaya. Watoto wote tuwalee kadili ya uwezo wetu na watakuwa sawa tu.
  3. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Full Time | Jamus SC 0 - 0 Simba SC | CECAFA Kagame Cup | Kigali Pele Stadium

    Wameenda kujiaibisha tu
  4. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Usingeweza ila kuna hatua ungeambiwa utume hela ili kushikilia mzigo usiuzwe. Kiwango ungeambiwa milioni au uliyonayo mpaka laki wanachukua kisha wanapotea. Kuna jamaa alipigwa laki na 75 elfu.
  5. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha Wakata tiketi wa Mwendokasi: Kuna unyonyaji na ukiukwaji wa haki za Wafanyakazi

    Bado mpo kwenye matazamio mkifanya mwaka mmoja mtaongezwa posho kama wenzenu walioanza miaka mingi. Patience pays.
  6. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kosa la Oktoba 29, 2025 tutalijutia sana

    Ungetumia neno baadhi ya walimu maana walimu nchini ni wengi hata uwanja wa mkapa hautoshi.
  7. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bei ya mafuta: Kwanini hatua za dharura hazikuanzishwa mapema kabla ya taarifa ya EWURA?

    Ndio maana wamemla kichwa mkurugenzi wa ewura
  8. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Tabora tunaishi kwa wasiwasi na hofu ya kuuwawa

    Haiwezi kuwa vita ya kiuchumi na wamiliki wa baiskeli zinazobeba abiria
  9. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujitenga na mirathi ndugu zangu wamenitenga

    Sasa kama mnagombana na mwisho wanalipa kuna shida? Huenda wewe unavijihela kidogo kwahiyo unataka wenzako walipe ontime wakati wanaunga unga maisha lazima wavumilie kidogo. Afu mambo ya kuzila zila kwa mwanaume hayapendezi. Rudi kwenye familia
  10. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujitenga na mirathi ndugu zangu wamenitenga

    Sababu za kujitoa hazina mashiko rudi haraka sana
  11. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Tunakodisha mtambo

    Tunapatikana mbarali mbeya na mtambo unakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania. Mawasiliano yameambatanishwa kwenye video.
  12. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Web zinzorusha epl

    Fawanews.sc
  13. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachovunja watu moyo wa kuandamana ni ile shuruti ya kuandamana, wengine wanaingiza pesa ndefu wakiingia kazini

    Kuna watu wanna ridhiki ya kuku yaani asipotoka hapati kitu kwahiyo lazima akatafute ale. Sasa ukienda kuandamana asubuhi ikifika saa tano hujanywa Chai, mchana hujala na jioni je kwahiyo anaeandaamana lazima awe na uhakika wa kula aubuhakika wa kipato. Ile 29 walivunja mahoteli sio kwasababu...
  14. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya serikali ina utata

    Hasa hasa mliopo Dar bakini ndani msitupigie kelele
Back
Top Bottom