Recent content by visa gold

  1. V

    Kama we ndo kidume hapo ungefanyaje?

    Hao wote ni mashujaa kwenye vta tofauti
  2. V

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Kaka hio USD 1200 ni kne way ticket au go and return?!
  3. V

    Biashara hii inakwendaje na itapokelewaje?!

    Nashkuru sana wadau kwa kunipa moyo. Nilidhani ni wazo la kitoto lakin kwa moyo huu mlionipa itabidi nichangamkie fursa nimepanga kuanza na soko la wanafunzi nikisambaza angalau stationary za mavyuoni niangalie response zake kwanza. Nahitaji msaada zaidi wadau... taarifa zaidi ya nilipofikia...
  4. V

    Biashara hii inakwendaje na itapokelewaje?!

    Asante sana kwa ushauri unaonipa moyo ntajaribu Mungu anisaidie navyojua ilimradi kiwe kizuri wananch hawana shida nayo. Nashkuru sana baba ziro
  5. V

    Biashara hii inakwendaje na itapokelewaje?!

    FHabari za ninyi wanaJF, Nimekaa nikawaza kutokana na ukweli kuwa watanzania wanapenda sana utamaduni wao mnahisi itapokelewaje biashara hii ya kuandaa kadi zilizo katika lugha ya kiswahili?! Yaani muundo ule ule lakini maneno ndo ya kiswahili chetu?! Mnadhani itafaa?! Nahitaji maoni yenu...
  6. V

    Hadithi: Wakili wa moyo

    Very interestn story
  7. V

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    Asante sana boss story murua
  8. V

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Tazo ni ma paspot na maviza bna. Ila mtaji wa mil 5 si fresh kabsa wadau?!
  9. V

    A little jealousy

    Yes a little is health bt hw can u measure that?! There comes a challenge
  10. V

    Sina hamu ya kupenda...

    Hv tuanzie hapa nn sababu ya kutendwa?! Hv mwanaume anazaliwa msaliti au ni maisha ya mahusiano anayopitia ndo humfanya awe na roho ya chuki na kisasi. Pole dadangu kwa yaliokukuta jitahidi kuvumiloa ipo siku aliekuumba atajua haja ya moyo wako kwa wakat huooo...
  11. V

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Rekod kept
  12. V

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Aseno mmewabagua?
  13. V

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Asa arsenal tuwasaidiaje kusema ukwel mbna maisha yao yanakuwa magumu
  14. V

    Vitambi kwa mwanamke na mwanamme hupunguza radha ya mapenzi!

    Kwa zoez hili masaa kadhaa tuu 81 packs
  15. V

    Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

    Off siiide goaaaal
Back
Top Bottom