Recent content by vipers

  1. V

    JamiiForums Tanzania Wosia wangu kwenu wanangu

    duuu! hiii ni Kali kwelikweli!
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prof. Assad hakumwambia Rais kuhusu matumizi yasiyojulikana ta Trillion 1.5 alipokabidhi ripoti yake?

    hilo ndo tatizo lako mkuu, wewe unaumizwa na maneno ya watu ya kumuita mkulu mwizi,fisadi na majina mengine na unaacha msingi wa ripoti ya CAG ambayo yenyewe haisemi au haijazungumzia wizi Bali inazungumzia kutoonekaba kimaandishi kwa hiyo pesa,
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa kwa majaji Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

    jaman wana jf, katika hili tusiwe vipofu na wachache wa kufikiri, binafsi sioni kama CAG kakana kile alichoandika na alichokisema wakati anahojiwa. kwa sababu zifuatazo: swali aliloulizwa na alichokiandika au alichosema wakat anahojiwa na azam tv alikuwa halali kukataa, kwa sababu mkuu...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mafua na kikohozi kwa watoto Chini ya mwaka Milano.

    ahsante sana mkuu kwa ushauri wako!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mafua na kikohozi kwa watoto Chini ya mwaka Milano.

    mi wa kwangu ana miezi 2 tu, tangu azaliwe kakaa takriban wiki tu Mafua na kikohozi kikamjia, tukaenda zahanat tukapata dawa lakin haijamsaidia, anaweza kupata nafuu siku moja tu baada ya hapo matatizo ni palepale
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    nakubaliana na wewe kwa kile ulichosema, lakin hapa tunaona na kujifunza kwa namna gan kama nchi na viongoz ambao tunasema making wanavyofanya mambo Vila kutumia SHERIA na taratibu zilizowekwa ili kuzuia hasara zinazopata taifa!!!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpaka afanye nini ili idhihirike hafai?

    mkuu, Mimi ninaemjua pascal hajamaanisha km watu mulivyomuelewa, huwa anapenda kuongea kinyume nyume
  8. V

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    ahsante sana mkuu kwa makala nzur. Kwa upande wangu tangia nikiwa shule ya msingi mpaka nafika sekondari, ndoto zangu kuu zilikuwa ni kuwa mwanasheria au la polisi lakin baada ya kukua na kupanuka kimawazo nilitokea kuipenda hiyo kazi. lakin hadi sasa ninapoandika huu Uzi hakuna kazi...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

    "Aisifue mvua imemnyeshea"
  10. V

    JamiiForums Tanzania Wakili Yassin Membar afariki dunia. Alishiriki kuiteka ndege ya Tanzania 1982 akishinikiza Rais Nyerere ajiuzulu

    jaribu wewe mkuu utaweza tu, mbona yule wa makofi aliweza tena mbele za watu,.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Walimu wamemtenga mwanangu na kutomfundisha hadi amefeli, naweza kuwachukulia hatua gani?

    inaonekana bado hats mtoto wako hajajitambua, yaan anatengwa kwa kipind chote hicho halafu hajatoa taarifa hata kwa wazazi wake!!? inaonekana hata msamaha wenyewe hakuomba baada ya kukosea, mi nakushaur uende tu mkayamalize, kaz ya kulea mtoto ni ngumu
  12. V

    JamiiForums Tanzania Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

    sikiriza mkuu nikuambie, uwepo wake hapo ulikuwa ni rasmi kwa akili ya hao makada wa cdm xo akili zake zote zilikuwa kwa hao, kwa hiyo wasingeweza wala kuthubutu kumfotoa huyo asiyejulikana na kujaribu kufanya hivyo ni kujiingiza kwenye anga za wasiojulikana mapemaaa wakat inawezekana hawakuwa...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

    mkuu, pascal sio muongo ila ametumia "kajeli" katika uandish wake, ni ngumu kumuelewa kama hikupitia kidogo masuala ya fasihi au hats kufikirisha akili yako Mara tatu tatu!
  14. V

    JamiiForums Tanzania Nimeona viumbe/binadamu vya ajabu vyenye miili myembamba na vichwa vikubwa

    mi napita tu subir watakuja
Back
Top Bottom