Recent content by VINEGAR

  1. V

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Na ruhusa hii iwe sambamba na kuachana, ili waumini waishi kwa amani.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna usalama kweli?

    Bwana ndiye mchungaji wako, hutapungukiwa na kitu.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Hongera Yanga in advance. Unatupandishaa weee, sijui uwezo wa kutushusha unao, kesho hiyo ban inakuhusu.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Kupitia haya matukio, wapo wanaume wanaofurahia lakini wapo wanaume wanaondelea kujenga uwoga wa kuingia kwa ndoa. Kitakachotokea mbele huko ni waume kuoa waume wenzao. Ujasiri wa kiume unatoweka taratibu.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Na dada yake akifikiwa atakuwa mkali sana.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, dini za kuletwa ndo chanzo cha yoote haya. Dini zimeleta hali ya umiliki na ubinafsi. Katika dini hasa ukristu tunaaminishana katika mwili mmoja hadi kifo kitenganishe ndoa. Kabla ya hizi dini, waume hawakuwa na wivu kwa wake zao hata wanapojua mke anatoka na mwanaume fulani...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Hongera Mkuu. Waoga wa kufyatua tunakusindikiza, tupo nyuma yako
  8. V

    JamiiForums Tanzania Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

    Hao Natamani hao wa vijiweni wanambie alikoutoa huo utajiri kishirikina ili nami niende. Nimechokana sana na umasikini.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Usipuuze idea unazopata ukiwa kwenye maeneo haya:-

    Ukishtuka katikati ya usingizi.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Yesu anaweza kuizuia El Niño. Ukweli huu hapa!

    Asante sana Mkuu. Hapa nimepata mawili 1. Maandalizi ya kujihami dhidi ya Elnino 2. Kufanya maombi kwa Mungu ili kuzuia kabisa au pengine maandalizi yetu yakifeli tusipate madhara.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

    Aisee! Mkuu umejiandaa dhidi ya mvua za Elnino?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nafurahia sana maisha yangu mapya

    Nachoka sana mimi
  13. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Hongera sana kwa kupunguza uzito. Hayo mengine ni matokeo tu.
Back
Top Bottom