Recent content by Vin Diesel

  1. Vin Diesel

    Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Ni kweli asee...tumekula sana ubwabwa hapa kati
  2. Vin Diesel

    Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Nipo ndugu yangu....jana na leo. Habari ya uzima
  3. Vin Diesel

    TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Niliondoa huduma yao kwa kukosa msaada ofisini kwao Ukipata tatizo la mtandao weekend ndio usubiri hadi j3 Kifaa kikiharibika, inabidi uhonge mafundi wao wakupe Na fundi hadi aje kwako lazima umtoe lasivyo utasubiri mwezi mzima na hakuna atakae kuja japo hadi meneja wa mkoa anakuwa na taarifa...
  4. Vin Diesel

    Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

    Ndicho nilichomaanisha mkuu kuwa kinachoshangaza ni BASATA kutoa vibali kwenye huu upuuzi na huwa wepesi sana kufungua nyimbo za harakati....wtf
  5. Vin Diesel

    Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

    Kichachoshangaza BASATA wanatoa kibali cha huu upuuzi kurushwa kwenye TV na msanii akiichana serikali wimbo wake unafungiwa.
  6. Vin Diesel

    Serikali ingilieni suala la mabasi kutembea kwa mwendo kasi

    Wanaoongoza kwa kukimbia na kuvunja sheria za barabarani ni gari za serikali na mabasi...ila sio jambo la ajabu hasa ukiangalia kiwango duni cha uelewa cha wananchi na viongozi wao. Mtu akiwa DC tu basi anakuwa juu ya sheria...utawala wa sheria ni wote kutii sheria nyakati zote
  7. Vin Diesel

    Huyu ni kiumbe gani?

    Most likely ni Jellyfish...hakikisha humgusi maana ana sumu kali sana
  8. Vin Diesel

    Yupo wapi Member mwenzetu Evelyn salt?

    Tuna mengi sana ya kujadili mpenzi...
  9. Vin Diesel

    Yupo wapi Member mwenzetu Evelyn salt?

    Mtakuja kulogwa kirahisi rahisi tu...shauri yako
  10. Vin Diesel

    Hapa DSTV wanapoteza wateja na mvuto wa biashara

    Vizuri vina gharama mkuu Ukiona hapa pagumu angalia ving’amuzi vya bei ndogo zaidi kama vipo
  11. Vin Diesel

    Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

    Mkuu ukisema simu za Oppo bila kutaja Oppo gani utakuwa unakosea. Tutajie Oppo ipi na tuangalie reviews zake zipoje.
  12. Vin Diesel

    Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

    Endelea kusifia jembe la mkono na kuponda wanaotumia matrekta.
Back
Top Bottom