Recent content by Villky_J

  1. Villky_J

    Maisha yanatufanya tusipate tunavyoviihitaji, its pain and confuced

    Uko sahihi mkuu, vyote hivyo nimefikiria...hata mimi sipo mnyonge kiivyo ila kama mjuavyo maisha ni levels, daraja halilopo yeye lipo juu sana kiuweli angekuwa mwanamke mwingine wakawaida wala isingekuwa tabu...ninachokiona hapo the only solution ni kujiimarisha kiuchumi....nothing else
  2. Villky_J

    Maisha yanatufanya tusipate tunavyoviihitaji, its pain and confuced

    Sipo nae ilikutafuta unafuu wa maisha, ni vile haunijui....sijawahi pata chochote kutoka kwake wala sifikirii zaidi nawaza kuhusu mtoto kulea mtoto asie damu yako inahitaji moyo sio rahisi kama unavyofikiria
  3. Villky_J

    Maisha yanatufanya tusipate tunavyoviihitaji, its pain and confuced

    Habari za muda huu wana Jf. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwanye hoja mahususi. Mapenzi ni kitu kimoja cha ajabu sana. Ni mwaka wa pili sasa, tangu nikutane na mwanamke nahisi ndio ninae mpenda zaidi tangu niyafahamu mapenzi. Mwanzo nilihisi ni tamaa tu, maana ni mzuri sana...
  4. Villky_J

    Series (Special thread)

    Mimi nikajua season 2 ipo, nimeimlizia leo, dah[emoji50]‍[emoji100]
  5. Villky_J

    Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    Unakodi boda unakimbilia kurasini chap [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Villky_J

    Afisa wa Polisi aliyeiba 4.8b atorokea Afrika Kusini

    Huyo mtajwa hapo ni kama fuse tu lakini maboss ndio wamekula mpunga mrefu
  7. Villky_J

    Afisa wa Polisi aliyeiba 4.8b atorokea Afrika Kusini

    Tena ratbuku [emoji1][emoji1][emoji1]
  8. Villky_J

    Afisa wa Polisi aliyeiba 4.8b atorokea Afrika Kusini

    Polisi waniandae kisaikolojie ukifiwa jipnge mwenyewe taarifa uneshapata ingawa sio rasmi
  9. Villky_J

    Afisa wa Polisi aliyeiba 4.8b atorokea Afrika Kusini

    Eeenh kuwa na heshima mzee kesi kubwa hii kingereza muhimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  10. Villky_J

    Sitasahau hili tukio wakati nasoma shule ya boyz

    Ndio kuketwa huko shekhe [emoji2955]
  11. Villky_J

    Sitasahau hili tukio wakati nasoma shule ya boyz

    Mbona tukiyasoma vizuri maandishi yako....inaonesha wazi na wewe pia ni muumini wa mapenzi ya jinsia moja....mwanaume namna gani anakeketwa?
  12. Villky_J

    Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    Mimi niliwahi kwenda barabarani usiku majira ya saa 8 hv nikakuta kuna mzee homeless amelala nje ya fremu ya duka, nikamuomba tuzungumze....akakubali nikaamua kumshirikisha matatizo yangu mtu asiye nifahamu....niliongea vyote bila kuficha chochote, huwezi amini yule mzee alinipa ushauri mzuri...
  13. Villky_J

    Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    Kwa hiyo kama changamoto yake ni afya akuelewe....tiba yako sio nzuri sijapenda kwa kweli [emoji854]
Back
Top Bottom