baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...
kila mtu alichokesema kwa nafasi yake yuko sawa na kuna kitu nimeongeza uelewa zaidi...ila ifahamike kitu kimoja sina tatizo na salamu za kawaida za kila siku na usiku mwema ya wazazi kwa mfano au ile ambayo hufuata baada ya maongezi fulani kwa jamaa na marafiki.....
Habarini wana JF
Ingawaje hii ni post yangu ya kwanza ila naomba kuwasilisha.
Kuna hii tabia ya mwanaume kumtumia mwanaume mwenzie ujumbe wenye maneno "usiku mwema" au goodnight"
Sasa najiuliza kwanza mwanaume kweli unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzako kitu cha namna iyo.
Mimi huwa...
hapa hakuna cha inferiority,kukimbia majukumu au kuwaogopa wanawake...kilichosemwa ni ukweli mtupu na kipo kwa asilimia kubwa kwenye jamii zetu..INGAWAJE SIO WOTE ILA KWA KIASI KIKUBWA WANAWAKE WASOMI INAPOKUJA KWENYE SUALA LA MAISHA YA NDOA NI TATIZO..TUKATAE TUKUBALI HIYO NDO HALI HALISI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.