Usiku mwema au good night kwa mwanaume mwenzio

Usiku mwema au good night kwa mwanaume mwenzio

Bwana villgaxy
Hapo tatizo liko wapi? au wanaume hatulali? na kama tunalala haturuhusiwi kutakiana usiku mwema?
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo kuna tatizo gani? Ebu post vitu vya msingi achana na mawazo mgando. Kama mtu anavitabia vya Ugay ni vingine siyo swala la salamu. Ni kawaida sana na ndiyo ustaarabu kutakiana mema (usiku mwema, mchana mwema, kazi njema, safari njema, Habari za asubuhi, au mchana au usiku). Salamu tu hizo.
 
[h=3]Good night | Define Good night at Dictionary.com[/h] [h=2]good night[/h]
sentence substitute
1. a conventional expression of farewell, or, rarely, of greeting, used in the late afternoon, the evening, or at night, esp when departing to bed
[h=3]Good night - Definition for English-Language Learners from ...[/h]
good night interjection Learner's definition of GOOD NIGHT

- used to express good wishes in the evening especially when someone is leaving or going to sleep
  • Good night. I'll see you in the morning.
 
Hakuna tatizo, sasa kama mumeongea usiku au kuchat usiku kwa ishu yoyote, ndo muagane tu kwa kusema tutaonana kesho? Unapomwambia mtu usiku mwema mimi nahisi inamaanisha kwamba unamjali na kheri ziwe juu yake
 
habarini wana jf..ingawaje hii ni post yangu ya kwanza ila naomba kuwasilisha...
Kuna hii tabia ya mwanaume kumtumia mwanaume mwenzie ujumbe wenye maneno USIKU MWEMA au GOOD NIGHT tu..sasa najiuliza kwanza mwanaume kweli unaanzaje kumtumia me mwenzako kitu cha namna iyo..
Mimi huwa nachukizwa na hii kitu je wenzangu huwa mnaichukuliaje.?? Au ni vibaya au ni vizuri.??

Eh kumbe kuna msg za kike na kiume
 
kila mtu alichokesema kwa nafasi yake yuko sawa na kuna kitu nimeongeza uelewa zaidi...ila ifahamike kitu kimoja sina tatizo na salamu za kawaida za kila siku na usiku mwema ya wazazi kwa mfano au ile ambayo hufuata baada ya maongezi fulani kwa jamaa na marafiki.....
 
It's totally gay. Not cool at all, not cool.

How ? Unless amekwambia "Usiku mwema mpenzi". Otherwise, it's a good best wishes. Suppose, your are told "Good night or May you have a good night. Is it also wrong ?
 
How ? Unless amekwambia "Usiku mwema mpenzi". Otherwise, it's a good best wishes. Suppose, your are told "Good night or May you have a good night. Is it also wrong ?

Kiongozi unakuta mtu anakwambia "good night" halafu anasindikiza na vi-smarticons ki-mbalamwezi, kitanda, smileys n.k. Hapana aise. Ina elements za u-fruity...
 
Sasa kwani kuna tatizo gain?
 
Wabongo akili nyingi inatumika kutafsiri ndivyo sivyo!

Mpaka usiku mwema mnaona tusi,? duh!
 
Kiongozi unakuta mtu anakwambia "good night" halafu anasindikiza na vi-smarticons ki-mbalamwezi, kitanda, smileys n.k. Hapana aise. Ina elements za u-fruity...

Nimekulewa Mkuu, hapo kwa hasira unatakiwa kupiga hiyo simu kwenye ukuta.
 
Sasa hata babaako akikwambia "usiku mwema mwanangu" utamuundia tume?
Ukiishi kwa tafsiri za kipuuzi utapata shida kijana.
 
Habarini wana JF

Ingawaje hii ni post yangu ya kwanza ila naomba kuwasilisha.
Kuna hii tabia ya mwanaume kumtumia mwanaume mwenzie ujumbe wenye maneno "usiku mwema" au goodnight"

Sasa najiuliza kwanza mwanaume kweli unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzako kitu cha namna iyo.
Mimi huwa nachukizwa na hii kitu je wenzangu huwa mnaichukuliaje?


Na safari njema nayo hupendi, hongera au kwaheri? Hujui unasimamia wapi sexually ndio maana unaweweseka
 
Back
Top Bottom