Recent content by VILLAIN

  1. VILLAIN

    TAZARA inahujumiwa na viongozi?

    Tatizo akili zako fupi,Mimi sijapinga uwepo wa treni kubeba mizigo.Njia zote za usafirishaji zinaexist kwa pamoja
  2. VILLAIN

    TAZARA inahujumiwa na viongozi?

    Huo mfano wako hauna mantiki kabisa kwenye hili swala tafuta mfano mwingine.Suala la malori linagusa maisha ya watu wengi moja kwa moja tofauti na hiyo treni.
  3. VILLAIN

    TAZARA inahujumiwa na viongozi?

    Mnafahamu hayo malori yanatoa ajira kwa watu wengi kiasi gani??kuanzia madereva,mafundi,wauza mafuta,matairi,spare parts,mama ntilie,waosha magari na wengineo.Mizigo yote ikibebwa na treni hiyo workforce yote mna sehemu ya kuipeleka???
  4. VILLAIN

    Tathimini ya Safari kutoka Njombe kwenda Mbeya(231km) kwa kutumia pikipiki

    Mnyama huyo,Arusha to Dar kama vile unaenda kariakoo.Hapo Same nakagua kagua chombo kidogo
  5. VILLAIN

    Nashauri Magari yasikwepe tena boda boda, yawagonge kuokoa wengi

    Somo la udereva wa kujihami linahitajika sana kwa madereva wetu ili kupunguza au kumaliza kabisa suala la ajali, tunafahamu boda boda ni tatizo sasa ww dereva kila unapoona boda boda inabidi uchukue tahadhari punguza speed ya gari yako ili hata akikuchomekea uweze kusimama bila ya kusababisha...
  6. VILLAIN

    Msaada: Ipi bora kati ya samsung na sony home theater

    Ilikuwa around 1.3m nilichukulia nairobi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. VILLAIN

    Boko, Dar: Ajali mbaya yatokea baada ya Lori kukosa breki na kuvamia waendesha bodaboda na kupelekea vifo na majeruhi

    Huwa nikipita pale stand ya mbezi ya kimara nikiwaona wale wafanyabishara pembeni ya barabara huwa najiuliza gari likifeli brake itakuwa janga kubwa sana
  8. VILLAIN

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl RCT ubarikiwe sana,jana nilipokea package yangu ikiwa salama bila usumbufu wowote. Wakati nakutumia pesa sikuwa na uhakika kama jambo nalofanya ni sahihi au coz kumtumia mtu pesa ambaye hujawahi hata kumuona ni jambo zito haswa ukizingatia zama hizi za Uncle Magu hela ilivyo ngumu bt thanks...
  9. VILLAIN

    Kwa kauli hii ya Rais, watumiaji wa mitandao tuko salama?

    Na kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. VILLAIN

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Pamoja sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. VILLAIN

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Tuko pamoja mkuu,Mungu akubariki kwa kushare hayo mawazo mazuri.
  12. VILLAIN

    Tracker device, kifaa cha kufuatilia nyenendo

    Kuhusu mafuta njia kuu mbili zinatumika kwanza unaunganisha GPS tracking device na zile wire zinazoleta signal kutoka kwenye tank ya mafuta na njia ya pili unatoboa tank ya mafuta kwa juu then kuna kifaa kama bomba kitaalamu kinaitwa fuel probe unakidumbikiza huko kazi yake inakuwa kusoma kiasi...
  13. VILLAIN

    Tracker device, kifaa cha kufuatilia nyenendo

    Kwanza kabla ya kununua GPS tracking devices lazima ufahamu unataka kufunga kwenye gari kwa sababu gani, unataka kufanya tracking peke yake au na kazi zingine za ziada kama kumonitor mafuta,kufahamu kama dereva kafunga mkanda au kuwa na uwezo wa kusikiliza mazumgumzo ya kwenye gari lako. Pia...
Back
Top Bottom