Hii kuuza amgekuwepo Magu tu ndio alikuwa anaenda huko. Kama unakumbuka kipindi chake tulifikia hatua umeme ulikuwa haukatwi kabisa.
Ujenzi wa hayo mabwawa yeye ndie alieanza ujenzi.
Pia enzi zake gharama za kuingiza umeme ilikuwa 37000 tu. Wakaja hawa wanasema alikosea haiwezekani gharama ya...
Serikali ikumbuke huyu jamaa harakati iko damuni, na hajawahi kushindwa kwenye vita vyake vyote alivyowahi kupigana navyo.
Alishinda mpaka kifo baada ya kupigwa risasi nyingi pia
Kwa bara la Africa na baadhi ya nchi huko mbele nafikiri WaNigeria ndio taifa lenye wananchi wake waliofanikiwa zaidi kwenye maisha.
Wananchi wa Nigeria mmoja mmoja wana uchumi mzuri sana.
Kwa hiyo WaNigeria wengi muda mwingi wamefocus kwenye kusaka utajiri iwe kwa njia yoyote ile lazima...
Hakuna kitu kama hicho. HIYO INATOKEA NI KWA TANZANIA TU. MTU UNAJITUMA SANA KTK KAZI ZAKO IWE KILIMO AU BIASHARA ZAKO. LAKINI UNACHOAMBULIA NI HAMNA KITU UKILINGANISHA NA NGUVU ULIYOTUMIA. HAYO NDIO MATOKEO YA SIASA MBOVU ZA CCM.
Mfano unafanya biashara kwa kutumia mtaji wako. Lakini...
Ni kweli kuna mijitu inatumika kutuharibia mpira wetu. Wanamuogopa mtu mpaka inakera. Ile milioni 100 timu yangu kutoa kwa CCM iliumiza sana mpira wetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.